Kuchapiwa ni jambo la kiuokoo/kifamilia (kiroho zaidi). Fanya yafuatayo kuepuka kizazi chako kuchapiwa

Babu katawaliwa na Wajerumani
Baba katawaliwa na Tanu na Ccm
Mimi nimetawaliwa na Ccm
Mmhh aiseee ngumu hii🀣🀣🀣

Kuchapiwa inakuwa roho/laana kivipi ?

Baba MKEO anagongwa nje una tolerate. Unavumilia ujinga right? Taarifa unayo peleka KWA JAMII= Mzee Haji hanaga noma na wakeze. Vijana wataendelea kukugongea MKEO. MKEO HATA endelea kuhongwa nje.

UNA WATOTO WA KIUME: Watoto wanaona mama yao anavyo mcheat mshua wao + wanaona jinsi mshua anavyo chukulia poa mkewe kugongewa right?

Matokeo yake: Wakija kuoa na wao watakuwa wanachukulia poa suala la kugongewa. Hiyo tabia ita enda vizazi na vizazi.
 
Babu katawaliwa na Wajerumani
Baba katawaliwa na Tanu na Ccm
Mimi nimetawaliwa na Ccm
Mmhh aiseee ngumu hii🀣🀣🀣

Kuchapiwa inakuwa roho/laana kivipi ?

Baba MKEO anagongwa nje una tolerate. Unavumilia ujinga right? Taarifa unayo peleka KWA JAMII= Mzee Haji hanaga noma na wakeze. Vijana wataendelea kukugongea MKEO. MKEO ATA endelea kugongwa nje.

UNA WATOTO WA KIUME: Watoto wanaona mama yao anavyo mcheat mshua wao + wanaona jinsi mshua anavyo chukulia poa mkewe kugongewa right?

Matokeo yake: wakija kuoa na wao watakuwa wanachukulia poa suala la kugongewa. Hiyo tabia ita enda vizazi na vizazi.
 
Ni uharibifu TU kuelekea kufungua goli la taraka Kama sio kumwagana.
 
LIKUD mzee baba nimekupata vyema asie kufahamu hata shule alikuwa zero.
 
Ni Ni matokeo ya kutokumtii Mungu kwenye maagizo yake soma kumbukumbu 28-:15na kuendelea ,hivyo Kama mtu hatokuwa mtii kwa Mungu*Mambo mbali mbali mabaya yataambatana naye ikiwemo kuchapiwa
 
Unawezaje kuandika Ujinga wa namna hii!?

Mtoa mada " Mwanaume usi tolerate mwanamke anae ku cheat. Ukigundua mwanamke/mke wako ana kucheat achana nae hapo hapo"

kidonto " unawezaje kuandika ujinga kama huu"

Kidonto lazima utakuwa wa jinsia ke
 
Ni Ni matokeo ya kutokumtii Mungu kwenye maagizo yake soma kumbukumbu 28-:15na kuendelea ,hivyo Kama mtu hatokuwa mtii kwa Mungu*Mambo mbali mbali mabaya yataambatana naye ikiwemo kuchapiwa
Nakazia mkuu. Halafu one fact about mwanaume anae chapiwa ni kwamba huwaga wanaendeleaga kuchapiwa over and over again.
 
Mtoa mada " Mwanaume usi tolerate mwanamke anae ku cheat. Ukigundua mwanamke/mke wako ana kucheat achana nae hapo hapo"

kidonto " unawezaje kuandika ujinga kama huu"

Kidonto lazima utakuwa wa jinsia ke
Utaacha wangapi?huenda baba yako angefuata ushauri wako ungelelewa na mama wa kambo,u know what i mean
 
Utaacha wangapi?huenda baba yako angefuata ushauri wako ungelelewa na mama wa kambo,u know what i mean

SAWA wewe endelea kuchapiwa mkuu . Hata Yesu mwenyewe akisema ukigundua MKEO anatembea nje ya ndoa BASI toa talaka fasta. Wewe mwenyewe hekima zaidi ya Yesu endelea Kutolerate unfaithful women nipo nimekaa pale
 
Kusingekuwa na ndoa
 
Asee haya mambo hayaendi kwa ukoo haya mambo ni ya mtu mmoja mmoja kijana usigeneralize ukapoteza watu

Halfu aliyekwambia usipochapia watu nawe hutachapiwa ni nani?

Chapia au usichapiwe mkeo akiwa weak utachapiwa tu
 
Nakazia mkuu. Halafu one fact about mwanaume anae chapiwa ni kwamba huwaga wanaendeleaga kuchapiwa over and over again.
Hii ni kweli kabisa aseeeh πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…