Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu katawaliwa na Wajerumani
Baba katawaliwa na Tanu na Ccm
Mimi nimetawaliwa na Ccm
Mmhh aiseee ngumu hii🤣🤣🤣
Babu katawaliwa na Wajerumani
Baba katawaliwa na Tanu na Ccm
Mimi nimetawaliwa na Ccm
Mmhh aiseee ngumu hii🤣🤣🤣
LIKUD mzee baba nimekupata vyema asie kufahamu hata shule alikuwa zero.Kuchapiwa inakuwa roho/laana kivipi ?
Baba MKEO anagongwa nje una tolerate. Unavumilia ujinga right? Taarifa unayo peleka KWA JAMII= Mzee Haji hanaga noma na wakeze. Vijana wataendelea kukugongea MKEO. MKEO HATA endelea kuhongwa nje.
UNA WATOTO WA KIUME: Watoto wanaona mama yao anavyo mcheat mshua wao + wanaona jinsi mshua anavyo chukulia poa mkewe kugongewa right?
Matokeo yake: Wakija kuoa na wao watakuwa wanachukulia poa suala la kugongewa. Hiyo tabia ita enda vizazi na vizazi.
Nakazia mkuu. Halafu one fact about mwanaume anae chapiwa ni kwamba huwaga wanaendeleaga kuchapiwa over and over again.Ni Ni matokeo ya kutokumtii Mungu kwenye maagizo yake soma kumbukumbu 28-:15na kuendelea ,hivyo Kama mtu hatokuwa mtii kwa Mungu*Mambo mbali mbali mabaya yataambatana naye ikiwemo kuchapiwa
Utaacha wangapi?huenda baba yako angefuata ushauri wako ungelelewa na mama wa kambo,u know what i meanMtoa mada " Mwanaume usi tolerate mwanamke anae ku cheat. Ukigundua mwanamke/mke wako ana kucheat achana nae hapo hapo"
kidonto " unawezaje kuandika ujinga kama huu"
Kidonto lazima utakuwa wa jinsia ke
Utaacha wangapi?huenda baba yako angefuata ushauri wako ungelelewa na mama wa kambo,u know what i mean
Kusingekuwa na ndoaSAWA wewe endelea kuchapiwa mkuu . Hata Yesu mwenyewe akisema ukigundua MKEO anatembea nje ya ndoa BASI toa talaka fasta. Wewe mwenyewe hekima zaidi ya Yesu endelea Kutolerate unfaithful women nipo nimekaa pale
Asee haya mambo hayaendi kwa ukoo haya mambo ni ya mtu mmoja mmoja kijana usigeneralize ukapoteza watuNimeandika uzi huu baada ya suala la Haji kutamalaki.
Ni hivi kuchapiwa mke most of the time huwaga ni laana ya familia, ukoo au hata kabila.
Ndio maana ukijaribu kufuatilia kwa ukaribu kuhusu wanaume wanao chapiwa utagundua kwamba katika familia au ukoo wa mwanaume huyo kuna historia ya kuchapiwa (kufumania/ kutoa talaka baada ya kufumania) n.k
Wakati mwingine historia huweza kujirudia kwa mchapiwaji. Watu wengi wanao lalamika.kuchapiwa wengi wao Wana historia ya kuchapiwa miaka ya nyuma.
Ama kwa upande wa Makabila yanayo chapiwa wake zao binafsi nimegundua wapare walio wengi huchapiwa zaidi. Why do I say that? Experience ya watu ambao nimeshuhudia wakiachana na wake zao baada ya fumanizi au wakigongewa mademu zao wengi wao ni wapare aisee . ( Wapare naomba mkalitazame na hili )
YANI imefikia hatua nikisikia mtu ana complain kuchapiwa huwaga na assume.ni mpare..
UFANYE NINI KUEPUKA KIZAZI CHAKO KUCHAPIWA?
1. Usile mke wa mtu.
2. (Usikae na demu anae cheat/ usi tolerate mwanamke anae cheat) Kutolerate demu anae cheat ni chanzo kikuu cha kukaribisha laana/roho ya kuchapiwa kwako na kwa kizazi chako. Unapokuwa una vumilia mwanamke kucheat unakuwa unapeleka taarifa kwenye jamii kwamba ur okay with an unfaithful woman. So the society will continue to give to you and to your offspring the same kind of women over and over again.
Ukigundua mwanamke anatoka nje kimapenzi BASI unatakiwa kumuacha hapo hapo na usirudi nyuma tena. Tafuta mwanamke mwingine if she do the same achana nae tafuta mwingine tena. Utapeleka taarifa kwenye jamii kwamba hutaki mwanamke asie mwaminifu katika mahusiano and at the end of the day the society will give you what you want (deserve)
Kuna koo au familia nyingine huwaga hakunaga kabisa ujinga ujinga wa mke sijui kucheat au mtu kubambikiwa mimba. Hakunaga kabisa upuuzi kama.huo..lakini koo zingine upuuzi kama huo ni jambo la kawaida.
Nimalize KWA kusema: POLE SANA MZEE HAJI
Hii ni kweli kabisa aseeeh 🤔🤔🤔Nakazia mkuu. Halafu one fact about mwanaume anae chapiwa ni kwamba huwaga wanaendeleaga kuchapiwa over and over again.