Kuchapiwa ni jambo la kiuokoo/kifamilia (kiroho zaidi). Fanya yafuatayo kuepuka kizazi chako kuchapiwa

Kama ni hivi basi Mimi nishafeli na laana hii nimeikaribisha Mwenyewe maana miaka ya ujana mwanamke aliniambia yupo pekee yake Hana Mt basi huyo moja kwa moja nilikuwa namuona muongo- nilikuwa natembea na wanawake wanaoniambia nina Boyfriend/Boyfriends/husband/mzazi mwenza. Hapo ndiyo nasisimka na kupiga mashine kwa raha 😭😭😭

Kwa Uzi huu nimejilaani kitambo sana , na roho ya kucheat/usaliti nilijipandikizia mwenyewe-kama uandikayo ni kweli
 
Mkuu ni hivi, ukioa kimeo hayo ndiyo uliyopaswa kuyatarajia.

Jasiri aachi asili, wewe unachukua demu kahaba unategemea nini?

Hakuna asili kwenye matatizo ya kitabia, tabia ni ya mtu na si ya jamii
 
Mi naamini mwanamke anaekucheat anaweza kukuua kabisa.

Ila hapo kwa wapare hebu usituhusishe na hilo ama lah tupe mifano ndgu yangu la sivyo nikienda upareni utaitwa.
 
Kwa maelezo yako ndugu mwandishi nadhani bado hujaowa na kama bado basi ukishaowa naomba utarudi hapa jukwaan tuone kama uzi wako utakua na msimamo huu
 
Ukigundua mwanamke anatoka nje kimapenzi BASI unatakiwa kumuacha hapo hapo na usirudi nyuma tena. Tafuta mwanamke mwingine if she do the same achana nae tafuta mwingine tena.
Point iko hapa
 
Kwa maelezo yako ndugu mwandishi nadhani bado hujaowa na kama bado basi ukishaowa naomba utarudi hapa jukwaan tuone kama uzi wako utakua na msimamo huu

Kwanini ?
 
Mi naamini mwanamke anaekucheat anaweza kukuua kabisa.

Ila hapo kwa wapare hebu usituhusishe na hilo ama lah tupe mifano ndgu yangu la sivyo nikienda upareni utaitwa.
Kweli kabisa ndo maana ukigundua ana cheat unatakiwa KUPIGA Chini hapo hapo
 
Sijatoa point yoyote, ila nimesikitika sana ww sio wakua na ujinga huo kichwani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…