Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
hongeraSalam ndg zangu!
Ni raha kuingia na simu chooni halafu ukaanza kuchart tena zaidi kama unachart na kamchepuko kaka fulani!
WhatsApp ndo raha sana!
Raha sana kuingia na simu chooni na kuchart kwa kificho.
Huwa tamu sana.
Ulishawahi kuchart chooni ndg yangu.
daah! wewe jamaa, umenichekesha sana sana ujue, kama ungekuwa karibu ningekupa mwekundukumbuka ukiingia chooni akili nying unaziacha mlangoni unaingia na zakukusaidia usijinyee na za kulengea shimo, kama hayo yote umefanikiwa naamin hujachamb mkuu
Kwa hiyo ndiyo kusema unapenda ku chat na wanaume wenzako huku kijambio/unyeo wako ukiwa wazi? Are you deliciius?Salam ndg zangu!