Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Salam ndg zangu!
Ni raha kuingia na simu chooni halafu ukaanza kuchart tena zaidi kama unachart na kamchepuko kaka fulani!
WhatsApp ndo raha sana!
Raha sana kuingia na simu chooni na kuchart kwa kificho.
Huwa tamu sana.
Ulishawahi kuchart chooni ndg yangu.