Kuchat chooni kuna raha yake ya kipekee sana

Tena gogo linashuka kiulaini,ila bhana unatumia kama nusu saa hivi,raha uwe kwako
 
Nilipokua A level mazengo complex tulikuwa tunavua nje ya choo takribani mita 100 kutoka choo husika harafu unashona mbio kuingia chooni mle unaingia uko tayari tayari kabisa unabana pumzi waweza hema once na kutoka maana malashi yake unaweza zimia kabisa

Hehehehe harafu ukachati choo kama hicho aki yanani
 
Wengine vyoo vyetu ni vya shimo na vimejaa harufu mbaya na nzi wa kutosha,hiyo raha ya kuchuchumaa muda mrefu itatoka wapi?
Heri yenu wenye vyoo vya kukaa na vinavyonukia!!
 
Nafikiri utakuwa haujui kuhusu ugonjwa wa BAWASIRI (kutokwa na vinyama sehemu za siri) Ngoja nikusaidie kukuelimisha madhara yake. Sio salama kiafya kukaa chooni muda mrefu (haswa wakati wa aja kubwa) maana kipindi chote unapokuwa unachat basi na mishipa ya damu ya sehemu za ajakubwa huwa inatanuka ili kuruhusu uchafu kutoka, hvyo kitendo cha kufanya misuli itanuke muda mrefu husababisha misuli hiyo kuvimba, kupasuka au kutoka nje ( hapa ndo unasikia kile kinachoitwa kutokwa na vinyama sehemu za siri)
Ni muhimu sana kufanya kilechokupeleka chooni tena kwa muda mfupi sana ili kujiepusha na matatio kama hayo.
 
kumbuka ukiingia chooni akili nying unaziacha mlangoni unaingia na zakukusaidia usijinyee na za kulengea shimo, kama hayo yote umefanikiwa naamin hujachamb mkuu plz vua chup nzi watakusumbua
Bangi mbaya sana!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
we jamaa siju joowzey mi nakushangaa sana, mara nying sana unaquote comment zangu na kuniandikia mapovu, sijawah kukujib wala kukuandikia povu, nashndwa kukuelewa, hunijui sikujui, sijawah kukukwaza, kuku quote au kukutaja hata mara moja zaid ya leo , chuki na mimi unaitoa wap? Kwa mtu mwelewa angeshakaa kimya mana unamwandikia mtu mapovu wala hakujib, kama unatafta battle na mm hutafanikiwa mana mimi sikasriki wala silumbani, mimi jf nipo kwa ajili ya kufurah na hata ukiangalia comment zangu jf 100% ni utani hii tu ndo npo serious, tupo hapa kufrah, kufrahsha na kujifuna sio kutafta ma bif. Amina
Bangi mbaya sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…