shin gun wook
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 995
- 1,514
interesting
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bangi mbaya sana!!kumbuka ukiingia chooni akili nying unaziacha mlangoni unaingia na zakukusaidia usijinyee na za kulengea shimo, kama hayo yote umefanikiwa naamin hujachamb mkuu plz vua chup nzi watakusumbua
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilipokua A level mazengo complex tulikuwa tunavua nje ya choo takribani mita 100 kutoka choo husika harafu unashona mbio kuingia chooni mle unaingia uko tayari tayari kabisa unabana pumzi waweza hema once na kutoka maana malashi yake unaweza zimia kabisa
Hehehehe harafu ukachati choo kama hicho aki yanani
Bangi mbaya sana!!
Ha haa nyie watu nyieUnaona sasa! Kiwanda kingine kimefunguliwa chooni.
Magu njoo na mkasi wa kukatia utepe tafadhali