Kuchati kwenye simu wakati mmetoka 'out' na mtu ni kero

Ukiona hivyo usimtoe out, muingize in.

Halafu uone kama ataangalia simu mpaka kitandani.

Akiangalia simu kitandani hayo ni makosa yako ya kiufundi.

[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…