Kucheka hupunguza homoni za mkazo (stress hormones) na kuongeza seli za kinga ya mwili

Kucheka hupunguza homoni za mkazo (stress hormones) na kuongeza seli za kinga ya mwili

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Kucheka hupunguza homoni za mkazo (stress hormones) na kuongeza seli za kinga ya mwili hivyo kuongeza kinga dhidi ya maradhi. Kucheka pia huchochea utokezwaji wa endorphins kemikali inayomfanya mtu kujisikia vizuri na kupunguza maumivu yoyote aliyo nayo mtu kwa muda mfupi.

DWDxb_5X4AAcRof.jpg
 
Nna mifano ya watu kadhaa wanaopenda kucheka na kutabasamu muda mwingi, sura zao hazizeeki.
 
Back
Top Bottom