Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Kucheka hupunguza homoni za mkazo (stress hormones) na kuongeza seli za kinga ya mwili hivyo kuongeza kinga dhidi ya maradhi. Kucheka pia huchochea utokezwaji wa endorphins kemikali inayomfanya mtu kujisikia vizuri na kupunguza maumivu yoyote aliyo nayo mtu kwa muda mfupi.