- Thread starter
- #61
Tatizo lake ni very serious kuliko tulivyokuwa tunadhani! Hatukuwa tumeambiwa ukweli, kumbe suala la kutokuwa na hedhi ni matokeo tu ya tatizo kuu!Vipi binti yetu ameshafanikiwa kuvunja ungo au mambo bado magumu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lake ni very serious kuliko tulivyokuwa tunadhani! Hatukuwa tumeambiwa ukweli, kumbe suala la kutokuwa na hedhi ni matokeo tu ya tatizo kuu!Vipi binti yetu ameshafanikiwa kuvunja ungo au mambo bado magumu?
Daah! Kwa hiyo tatizo halijapata tiba mpaka leo mkuu?Tatizo lake ni very serious kuliko tulivyokuwa tunadhani! Hatukuwa tumeambiwa ukweli, kumbe suala la kutokuwa na hedhi ni matokeo tu ya tatizo kuu!
Yap! Bado, kwa sababu kama nilivyosema, awali hatukupewa taarifa sahihi kwahiyo tatizo lake la msingi sio kutopata hedhi bali hiyo kutopata hedhi ni sehemu tu ya tatizo la msingi ambalo naona ukakasi hata kulizungumzia! Lakini uzuri ni kwamba, mwenyewe inaelekea ni kama ameshakubali alivyoumbwa na anaendelea na maisha yake!Daah! Kwa hiyo tatizo halijapata tiba mpaka leo mkuu?
Tatizo lake ni very serious kuliko tulivyokuwa tunadhani! Hatukuwa tumeambiwa ukweli, kumbe suala la kutokuwa na hedhi ni matokeo tu ya tatizo kuu!
Yap! Bado, kwa sababu kama nilivyosema, awali hatukupewa taarifa sahihi kwahiyo tatizo lake la msingi sio kutopata hedhi bali hiyo kutopata hedhi ni sehemu tu ya tatizo la msingi ambalo naona ukakasi hata kulizungumzia! Lakini uzuri ni kwamba, mwenyewe inaelekea ni kama ameshakubali alivyoumbwa na anaendelea na maisha yake!