Kuchelewa kufika kileleni wakati wa tendo

Kuchelewa kufika kileleni wakati wa tendo

Jf ilishavamiwa kweli!!!!
Miaka 19??
Unapata muda wa kuingia Jamii Forum?

Shuleni, waalimu wana kazi kweli kweli.
Dogo piga kitabu kwanza Jf baadae.
Ulevi huu wa mitandao hautakuacha salama kimasomo.
 
Shikamoni wakubwa,

Mimi ni mvulana wa umri wa miaka 19 tatizo linaloniumiza kichwa ni wakati wa tendo la ngono nachelewa sana kufika na wakati mwingine sifiki kabisa kwa sababu mwenzangu anakuwa kachoka.

Ushauri wa kitaalamu tafadhali.
We ni jinga! subiri wavulana wenzio wakushauri
 
HATA SISI TULIKUWA HIVYO HIVYO NA UKIMPATA JIMAMA MPAKA LINAKUAMKIA SHIKAMOO NA LINAKUAMBIA KUWA WEWE NDIYE MWANAUME BABA YANGU.SIKU HIZI TUMEBAKI KAMA MBWA KOKO UKIMUOONA MSICHANA MZURI UNABAKI KUBWEKA TU MENO HAKUNA!!! BENKI IMESHAISHA!!!
 
Shikamoni wakubwa,

Mimi ni mvulana wa umri wa miaka 19 tatizo linaloniumiza kichwa ni wakati wa tendo la ngono nachelewa sana kufika na wakati mwingine sifiki kabisa kwa sababu mwenzangu anakuwa kachoka.

Ushauri wa kitaalamu tafadhali.
Miaka 19 umeshaanza umalaya pumbavu kabisa
 
Shikamoni wakubwa,

Mimi ni mvulana wa umri wa miaka 19 tatizo linaloniumiza kichwa ni wakati wa tendo la ngono nachelewa sana kufika na wakati mwingine sifiki kabisa kwa sababu mwenzangu anakuwa kachoka.

Ushauri wa kitaalamu tafadhali.
Dogo acha kutudanganya hapa maliza shule kwanza
 
Back
Top Bottom