Kuchelewa kukojoa /kupiga bao/ kupizi

Kuchelewa kukojoa /kupiga bao/ kupizi

Kuchukua dakika 20 hadi 36 bila kukojoa sio tatizo na ndivyo inavyotakiwa kwani ukikojoa haraka chini ya dakika 20 hutomfikisha kileleni mpenzi wako.

Tatizo hapo ni hicho kitendo cha uume kusinyaa ukiwa ndani ya uke hali imayokufanya uchomoe na kupumzika kusubiri uume usimame tena. Hiyo ni dalili ya upungufu wa nguvu za kiume!!

Tumia asali mbichi changanya na habbat soda ya unga uwe unalamba asubuhi na jioni ili kujitibu hilo tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kabla hujakimbiwa na huyo shemeji yetu.
Asante
 
Vipi ulipona?Wahanga ni wengi sio peke yako.
Samahani ndugu zangu, kuna hili swala linanichanganya sana.

Mimi nimekuwa na kawaida ya kufanya mapenzi mara kadhaa kama ilivyo kawaida ya mwanaume, lazima upizi ili tendo ulifurahie.

Tatizo langu ni kuchelewa kupiga bao yaani kipindi natafuta bao la kwanza huwa nafanya kwa muda wa kati ya dakika 20-36, na bado sipizi inanibidi nipumzike napumzika baada ya dakika 10 napanda tena dakika kat ya 10-19 ndo naweza kupizi.

Ushauri naomba, je hili sio tatizo kweli maana napumzika sio kama napenda ni uume unalala wenyewe.

Na uume wangu ni nchi 8 na niliwahi kuwa mwanachama hai wa chaputa[emoji12] msema kweli mpenzi mwana wa Mungu.

Tatizo ni nini jamani?
 
Huwa unaseti na saa au unakuwa na stopwatch kwa ajili ya kuhesabu hizi dakika?
 
Back
Top Bottom