A
Anonymous
Guest
JamiiForums naomba msaidie kufikisha/kuangazia suala la kuchelewa kwa malipo ya fedha za kujikimu kwa waajiriwa wapya wa Ifakara TC.
Tumeripoti kazini tangu Januari 2026, lakini hadi sasa hatujalipwa. Kila tunapofuatilia tunaambiwa fedha zipo Hazina na tusubiri, huku baadhi ya waajiriwa wapya katika halmashauri nyingine wakiwa tayari wameshapata malipo yao.
Tunaomba jambo hili lifuatiliwe na mamlaka husika ili watumishi wapya walipwe haki yao na waweze kuendelea na kazi kwa utulivu.
Asanteni.
Pia soma: Ridhiwani Kikwete: Naelekeza Waajiri tengeni bajeti kuwalipa Fedha za Kujikimu Waajiriwa Wapya