Kuchelewa kwa matokeo kidato cha nne ni kwasababu ya matokeo Mabovu

Kuchelewa kwa matokeo kidato cha nne ni kwasababu ya matokeo Mabovu

Status
Not open for further replies.
Kwa mujibu wa taarifa ya Mh. Charles Msonde akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu lini atatangaza matokeo amesema mitihani tayari imesahihishwa wapo wanapanga madaraja:

Chanzo cha habari ni gazeti la mwananchi la tar 8 Feb 2015!
 
Si shwali kudanganyana humu please! tupieni hari za kweli
KUBWA NIKWAMBA MATOKEO YATATOKA LINI? WAUNGWANA TUJULISHANE BASI
By castor mayagene (A.K.A) DR. MAYA
 
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta)
limesema usahihishaji wa mitihani ya
kidato cha nne uliofanyika Novemba
mwaka jana, umekamilika. Hatua hiyo
inafuatia baadhi ya wanafunzi
waliomaliza kidato cha nne kuwa na
shauku ya kutaka kufahamu
walichovuna kutokana na kukaa
darasani kwa miaka takribani minne.
Kwa mujibu wa Katibu mtendaji wa
Necta, Dk Charles Msonde amesema
kuwa usahihishaji umekamilika na
baraza lipo katika uchambuzi wa
kuyapanga na yatakapokamilishwa
watayatangaza.
Aidha, Katika kipindi cha miaka miwili
mfululizo, mwaka 2012 na 2013, Necta
ilitangaza matokeo ya kidato cha nne
mwishoni mwa Februari na mwanzoni
mwa Machi.
Katika hatua niyinge muhula wa
masomo kwa kidato cha tano huanza
Julai, huku mwezi Machi na Aprili
mchakato wa kuwapangia shule
hufanyika wakati Mei na Juni hutumiwa
kwa maandalizi ya kuripoti shule
wanafunzi waliofaulu mtihani huo.
 
Habarini wanajamvi humu ndani,

Jaman katika pitapita huko nmekutana na walimu waliotoka ku mark paper za madogo zetu xo katika mjadala wao wamedai ya kwamba chanzo cha kucheleweshwa kwa matokeo ya madogo ni kutokana na madogo kufeli vibaya lile paper la NECTA.

Serikali inaogopa kuyatangaza ili isiaibike na BRN yao.

Na Hao Walimu Wenyewe Wanaosahihisha Hiyo Mitihani Yao Na Wao Wana AKILI?
 
Si shwali kudanganyana humu please! tupieni hari za kweli
KUBWA NIKWAMBA MATOKEO YATATOKA LINI? WAUNGWANA TUJULISHANE BASI
By castor mayagene (A.K.A) DR. MAYA

Matokeo ya Kidato cha nne yatatoka tarehe 15Feb,vuta subira kwa siku hizo Tano zilizobakia,sasa kwa vile nimekuibia hii siri hapa leo,matokeo yako yakitoka Tafadhari kuwa Muungwana na wewe kunifahamisha matokeo yako hapa au hata kwa pm....Nakuaahidi ukiwa na division one nitakuzawadia.Ila punguza usela dogo
 
JESUS CHRIST....!

Kwa mwandiko huu ni halali tu matokeo yaje yakiwa yamebinuka!

Aisee mkuu umeharibu!

Duuu kk umenichekesha sana eti kwa mwandiko huo matokeo yake yakibinuka ni halali yake dah vijana mnapanga maneno dah
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom