Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mimi siyo chawa mkuu, nifuatilie post zangu zote ujiridhishe.Mimi pia ni mstaafu,lakini pension ya mwezi uliopita wamelipa juzi Jumamosi tarehe 10!Mkuu unaweza kuwa mstaafu lakini bado ukawa chawa wa serikali.Lakini pia inawekana sio mstaafu,unatembeza uchawa tu.Na sioni uwezekano wa serikali kulipa pension in batches,wewe ni mwongo na chawa.
Nitetee uongo ili unisaidie nini mie ndg yangu.
Mimi ni retired mzuri tuu na ninalipwa toka Hazina.
Hakuna trh zaidi ya 25 niliyowahi kulipwa pensheni kwa mwaka wowote tangia nistaafu miaka7 iliyopita.
Na tangia Januari mwaka huu ni Trh 22, 23,24 na25. Na mwezi tulioona imechelewa ni mwezi uliopita Jul ndo tulilipwa hiyo Trh 25 ni mzunguko wa Trh hizo tu.
Kuna jambo limenifikirisha, ili mi na wewe tuwekane sawa, jaribu ku confirm kwa retired wa Wizara zingine tofauti na uliyokuwa ukifanyia wewe usikie kama na wao walilipwa jana.
Yawezekana kweli kukawa na ukiritimba wa kuingiziwa pensheni zetu kwa Trh tofauti tofauti.
Uniwie radhi ndugu yangu kama nimekukwaza kibishi kwa sababu mimi natetea ukweli ninaotendewa na ukweli wangu ndiyo huo.