kuchelewa round ya pili

mjuni tabibu

New Member
Joined
Oct 26, 2017
Posts
3
Reaction score
3
Naomba msaada mimi nina tatizo nikipiga bao la kwanza nachelewa kuamsha tena isia na nikiamsha uwezo unakuwa mdogo sijui nitumie dawa gani
 
Mzee unataka kupiga nyingi kwani huna kazi ya kufanya au? Hali tete tafuta pesa wewe na sio mabao kedekede ya kazi gani kwanza! "Jamik moja" lakutosha sana usawa huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tafuta kwanza hela then uwe unakula chakula kizuri utaona matokeo yake..
 
Una umri gani?je muda gani unatumia kuamsha dude
 
Punguza hofu, alafu wewe bado mdogo kwenye mapenzi subiri ukue
 
hivi ukipiga bao la kwanza lazima upumzike? mbona mimi huwa naunga mabao hata matatu bila kupumzika?! au nina tatizo?
 
Hela ndo nguvu za kiume za siku hizi
 
mpeni majibu sio siasa ,mzee tumia matunda kwa wingi
 
Kuna wanao piga wana unga hawa ni wale wenye mapafu ya mbwa na mimi niki wemo , kuna wanao piga bao moja wana sikilizia / kupumzika ... hapa lazima tuku bali itachukua muda uume kuamka tena, hapa mwanamke wako akusaidie kukuamsha tena.
 
Naomba msaada mimi nina tatizo nikipiga bao la kwanza nachelewa kuamsha tena isia na nikiamsha uwezo unakuwa mdogo sijui nitumie dawa gani
Unataka kuwai wapi tabibu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…