mjuni tabibu
New Member
- Oct 26, 2017
- 3
- 3
Naomba msaada mimi nina tatizo nikipiga bao la kwanza nachelewa kuamsha tena isia na nikiamsha uwezo unakuwa mdogo sijui nitumie dawa gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refractory period Mzee baba...ipogo. Japo tunatofautiana muda wa kurudi tena kwa gamehivi ukipiga bao la kwanza lazima upumzike? mbona mimi huwa naunga mabao hata matatu bila kupumzika?! au nina tatizo?
Unataka kuwai wapi tabibu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naomba msaada mimi nina tatizo nikipiga bao la kwanza nachelewa kuamsha tena isia na nikiamsha uwezo unakuwa mdogo sijui nitumie dawa gani