Kucheleweshewa malipo ya mshahara na mafao baada ya kustaafu

Kucheleweshewa malipo ya mshahara na mafao baada ya kustaafu

Paschalis

Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
41
Reaction score
10
Nawaomba wataalamu wa sheria wanisaidie katika haya:
1. Sijalipwa mshahara na mwajiri wangu tangu Septemba 2013 mpaka sasa.
2. Nilistaafu tarehe 30.06.2014 baada ya kufikisha umri wa miaka 62, lakini mpaka leo bado sijalipwa mafao yangu.
3. Mwajiri hajawasilisha michango ya NSSF kwenye ofisi za NSSF tangu April 2012 mpaka sasa.
Naomba ushauri wa kisheria juu ya hatua za kuchukua ili niweze kupata haki zangu.
 
Back
Top Bottom