Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

Usitake kuonesha kwamba Zitto ana la maana ktk nchi hii ni mtu useless kwa kipindi hiki. Kubewba wakati wa utawala wa uliopita ilikuwa kawaida maana hata mambo ya dini na urafiki binfasi yalitumika sana kuendesha serikali. Subili utamuona uchaguzi ujao.
 
Watumeni watu wasiojulikana wakafanye yao maana hamtaki kusafiri kwenda kufafanua sera yenu mpya ya kufyatua watoto kwahiyo waacheni akina kabwe wakaifafanue.
Nchi gani duniani imefanikiwa ktk maendeleo kwa kuzuia uzazi? Usinyonye kila unachokisuikia ulaya na amerika.
 
Lissu ndie mpinzani wa kweli, hakuwahi kuwa na urafiki wa mashaka na mtu yeyote toka serikakini, Lissu ni wakupinga kila jambo analoona sio sahihi tena kwa fact,
Sina ushahidi wa kutokubaliana nawe katika hili.

Kuna tabia fulani aliyonayo Lissu inayofanya baadhi ya watu wastuke juu yake.

Kuna mambo yasiyostahiri kurukiwa tu kwa pupa na kuyatolea msimamo ukiwa kiongozi.

Huenda ni kukosa uzoefu. Akimudu kuchukua muda na kutafakari baadhi ya matamshi yake kabla ya kuyatamka kwa njia anayotumia, nakubaliana nawe kwamba Lissu mara nyingi ameonyesha msimamo usiotafuta maslahi binafsi kwake.

Zitto ni mwelewa wa mambo vizuri sana na ana uwezo mzuri wa kueleza jambo na watu wakalielewa.

Tatizo lake ni hilo ulilotaja. Tabia mbaya kabisa inapomhusisha kiongozi na mambo hayo.
 
Watu masikini na nchi masikini huendelea kua masikini kwasababu badala ya ku deal na chanzo cha TATIZO wao/sisi hu deal na TATIZO lenyewe; mfano, umepata HOMA say ya malaria, badala kunywa dawa itakayo UA huyo mdudu aliyekuletea tatizo hilo la HOMA, wewe unakunywa Panadol au pain killers ili usisikie HOMA, wenye akili huenda mbali Zaidi;

hutafuta kujua which mdudu aliyeniletea HOMA ili asilete tena kwangu na niwapendao, ndio maana unasikia kuna baadhi ya nchi hazina kabisa malaria ingawa hali zao za hewa zinafanana kwa 100% na sisi.

Hivi kubadiri tu msimamo ju ya hicho kinacho sababisha huo mkopo tusipate inatughalimu kitu gani? Well, say we may even isolate Zitto, mkopo utakuja au hautakuaja?
 
Huyo ni Mh Zitto Kabwe.

Wasiokubaliana na msimamo huu wanajulikana.

In fact, hawa ndio maadui wakuu wa taifa letu kwa sasa hivi'

Sasa tatizo ni unapoondoka kwenye msimamo huo alioeleza Mh Zitto na kuyaangalia haya mengine ya pembeni yanayosemwa juu yake!
 
Nimeshasema mara kibao kwamba ni hatari kupanga mkakati wowote na Zitto watu wanapuzia makala zangu juu yake lakini niwe mkweli leo namjua Zitto nje ndani toka yupo secondary na udsm amekuwa mfanyakazi wa idara wa muda mrefu. Zitto baada ya kuwaponza Kabendera na Tito Magoti sasa anaenda kuwaponza wanaharakati.

Wote alioshirikiana nao kuandika ile barua kwenda WB wanaenda kukomolewa kwa kupewa kesi za uhujumu uchumi na uchochezi

kama ilivyo kawaida atawaruka na kuwakimbia .
 
Tutaona mengi awamu hii muda ndio msema kweli
 
Hivi kwann watu hupenda kusema Usalama usalama utadhan usalama ni Mbinguni.
 
Kwamba Tz ilikua radhi ipoteze mkopo wa $500mil ili tu iweze kuwapata wanaharakati walioandika barua walioshirikiana na Zitto sio?
dodge
 
Hapa kuna tatzo sana
Huwezi kuwaza kusitisha masomo
Lazma kuwe na mkakati wa kuondoa hili jambo kwa miaka ya mbeleni
Njia anazotumia muzee ni kujichora tatoo na mafuta ya korosho
Utaishia kubabuka

Ili kushinda hili serikali ingepanga namna ya kuonyesha kuwa hawa watoto hawatakosa haki ya kusoma si kupambana na ZK

Hii ngoma mbona ya kitoto
Hii nchi ina kila aina ya watu.

Hao watoto wakiruhusiwa kuzaa wakiwa shule si utakuta girls wote wananyonyesha.

Kweli Mheshimiwa Magufuli una kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…