Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

Elia F Michael,
Inasemekana kuna barua zimetumwa kwa maelfu sio Zitto pekee hivyo sio lazima watangaze watu waliotuma barua wote. Zitto sio mwanaharakati pekee
 
Niliwahi kushauriwa nivute subira ili niweze kumjua Zitto pale nilipomfananisha na Mzee Mzindakaya kwenye kuhoji masuala mahususi ya kitaifa. Nilivuta subira, na kweli nilikuwa nimekosea sana kumfananisha Zitto(Mb) na Mzee Mzindakaya.
Ulikosea wapi na kwa vipi?
 
Inasemekana kuna barua zimetumwa kwa maelfu sio Zitto pekee hivyo sio lazima watangaze watu waliotuma barua wote. Zitto sio mwanaharakati pekee
Katika hili naungana na wewe.

Watu hapa JF wamemkomalia ZItto kwa sababu zao mbalimbali, huku wakijua Zitto ni sehemu ndogo tu ya kundi kubwa wanaopinga msimamo wa serikali kwenye mambo mengi tu.

Ukisoma michango mbalimbali hapa inayomsutumu Zitto utaona kwamba wengi wa wachangiaji wanakazania kumzungumzia Zitto badala ya kuchambua hoja zake ambazo nyingi zina mashiko sana.
 
Elia F Michael,
Ukiona mtu mmoja anaweza akasababisha mkopo wa world bank kusitishwa, lazima tujiulize sana kwamba, kilichosemwa na mtu huyo hadi kusababishwa tukose mkopo ni cha kweli

Halafu tuna ujinga mmoja.... MTU AKISEMA KITU KUIKOSOA SERIKALI, HUWA TUNAAMISHWA AMETUMWA NA MABEBERU... Hivi hao tunaolilia watupe mkopo siyo wale mabeberu tunaowataja kila kukicha?

Halafu Tundu Lissu wakati anasema kwa mara ya kwanza kuhusu ndege, tukasema ametuchongea kwa mabeberu... HATUKUSEMA CHOCHOTE KUHUSU KUDAIWA NA MKULIMA... Leo hii limehamia kwa Zitto

TIME WILL TELL
 
Zitto ametumia Njia za ajabu kuwalaghai Benki ys Dunia anazungumzia mambo ambayo hayana Uusiano na Mkopo bora hilo la Watoto waliopata ujauzito kutorejeshwa Shule kidogo lina Mantiki.
 
Mkuu ongeza hii hapo mbele ili watu wajue tatizo linalotunyekelea

 
Kigoma line,muguse muone sitanii ila wako vizuri.Mulizeni mkuu wa mkoa wa kanda ya ziwa mtoto wa waziri wa zamani.Walimfanyaje Ziwa Tanganyika
Leo umekuja kivyako kabisa.

Eeehee hebu tudokeze. Ilikuwaje?
 
Zito ndiyo Mzalendo wa kweli. Namuunga mkono 100% kwa hili alilofanya. Tunahitaji watanzanoa wengi zaidi kama Zito ili tujikomboe
Kwa hiyo huu ndo uzalendo unaoujua wewe.

Shame.
 
Upuuzi tu,
Haya yote yanafanywa kumringishia zittto au ni vipi na zaidi mbona mnahangaika sana kumjibu zitto, halafu kama sisi ni donar country, mikopo ya nini mana sisi ni matajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom