KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Nakushukuru sana kwa kuiandika hii, kwa sababu nilianza kukutilia mashaka na mada yako hii.4. Leo tumeona barua ambayo Zito na watu kadhaa wameandika barua World bank kuhusu tanzania kunyimwa msaada wa billion 500 kusaidia masuala ya elimu..umeona response ya mkuu wa nchi amesema tuwapuuzeni tu hao.
Ingekuwa ndiyo Lisu kaandika pangechimbika...Je Zito ni nani?
Unamaoni gani kuhusu Zito kuwa nyoka
Wewe unamaoni gani
Duh Mkuu Blindspot, nijibu mara ngapi na nimeishakujibu kuwa Zitto anaikosoa serikali kwa kutumia hoja zenye nguvu ya hoja na sio hoja za nguvu, yuko makini sana kwenye kuchagua maneno yake na kauli zake, hivyo hawana pa kumshikia.Bado haujajibu swali kwann Zito asumbiliwi. Zito anavujisha mangapi.. kwann nguvu kubwa wanapewa chadema
Nimsaliti tangu tukiwa pale mlimani ni mbinafsi pia na hatufai kuwa rais wa nchi hii. Uzuri na utamu wa uchaguzi mkuu ukizingatia watu walivyopinda sasa hivi hautabiriki asije akajidanganya mtu kuwa itakuwa mteremko kwa wanasiasa kupenyeza na kuuchukuwa ubunge mwezi wa 2020Unamaoni gani kuhusu Zito kuwa nyoka
Nakubaliana nawe 100%Zitto sio nyoka bali ni strategist
PZitto Zuberi Kabwe ni Mchochezi. Akamatwe, Ashitakiwe kwa Uchochezi, adai Rais Magufuli ni...
Wanabodi, Akizungumza kwenye mahojiano ya live kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na kituo cha TV cha Clouds TV, akizungumzia kuhusu ndege mpya za Bombadier, (Wakati Rais Magufuli akizizindua, rais alisema ndege hizo ni mpya kabisa na zimenunuliwa kwa direct sale kutoka kiwandani, bila...www.jamiiforums.com