Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzako na gari wanawanunulia.Guest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
Asee
Wewe tunaongea lugha mojaKuna siku yamenipata mahesabu ya fasta fasta nikaona itakuwa 145,600/=
Nili-focus mbele zaidi safari yangu ikaishia sokoni.
Nilinunua mchele, sukari, tambi , maharage, dagaa na samaki.
Nahisi niliongeza siku za furaha nyumbani. Nilimpigia simu kuwa nimepata dharura, nikamrushia 15,000/=
Kilichoendelea ni siri yangu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa awamu hii tutatulia
Tutabaki njia kuuukiendekeza michepuko.. utaishi maisha magumu sana
Hela ya mawazo ikoje?
hahahhahaGuest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
AseeKuchepuka kuna raha yake jamani... Kunafanya ubongo wako uwe active maana lazima uwe chonjo usikamatwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe huwa unachepuka?Halafu hakuna jipya wala
Hapana mkuuNa wewe huwa unachepuka?