sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Subiri pombe ziisheHuwezi amini, sijakuelewa
Kama taifa sheria na maadili yetu haziruhusu tamko hilo la kuruhusu kubariki wanaume kuingiliana, hapo inakuwaje ?Papa ameshatoa kibali waumini watoe vinyeo na waoane kanisa litafungisha ndoa ya jinsia moja, hata hiyo hoja yako ataifanyia kazi tu ili kuwe na disko la waumini mcheze na bikini [emoji160]
Waumini mnatakiwa mu mpinge papa ili tabia zake alizo zoea asiziingize kanisaniKama taifa sheria na maadili yetu haziruhusu tamko hilo la kuruhusu kubariki wanaume kuingiliana, hapo inakuwaje ?
Kubwa jinga wewe,una uhakika wa hicho unachokisema?.Leta hati ya Papa inayoruhusu hicho ukisemacho.Papa ameshatoa kibali waumini watoe vinyeo na waoane kanisa litafungisha ndoa ya jinsia moja, hata hiyo hoja yako ataifanyia kazi tu ili kuwe na disko la waumini mcheze na bikini [emoji160]
Yafaa kuwe na uhuru wa kuingia na pombe ili watu wachangamke zaidi na wala sio kosa kunywa huko pentekosteSisi wapentecoste tuna disco letu (praise and worship events), kila ibada lazima iwe inamuda wa kusifu!
Kauli mbiu yetu ni "Mfalme Daudi alicheza mpaka nguo ikachanika"
nakazia, hili ndio tamko lote na chanzo ni makao makuu ya kanisa katoliki wala sio bbcWe Gaidi unaishi kwenye mapango ya Torabora View attachment 2820067
POmbe ni haramu! Hairuhusiwi kanisaniYafaa kuwe na uhuru wa kuingia na pombe ili watu wachangamke zaidi na wala sio kosa kunywa huko pentekoste
kama ni haramu kwanini waumini wanaruhusiwa kunywa ??POmbe ni haramu! Hairuhusiwi kanisani
REjea juu dhehebu nililokutajia haturuhusiwikama ni haramu kwanini waumini wanaruhusiwa kunywa ??
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.View attachment 2820049
Nashangaa hii fursa bado haijachangamkiwa, kuna shida ipi ikiwa kucheza ni ruksa, kunywa ni ruksa na kinachoangaliwa ni roho sio mavazi ?
Ndani ya club kuwe na pombe, Mziki mnene unapigwa, kuvaa sio shida hivyo hata mavazi ya disko hayana shida,
huu mjadala wetu wakristo hao kina takbir wanaingiaje humu ?Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.
Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;
Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”
Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-
Quran 37:48-49:
And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.
“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
Moderator , Paw ndio mada mnazipenda hizi. Tukioeta sisi mada tena tunatumia reference za quran na hadith mnazifuta ila nyuzi kama hizi zisizo na reference ya Biblia na comments zenye matusi juu ya Ukristo mnaziacha. Nimeanzisha mada Mbili leo mmezifuta zote na moja likiwa swaliPapa ameshatoa kibali waumini watoe vinyeo na waoane kanisa litafungisha ndoa ya jinsia moja, hata hiyo hoja yako ataifanyia kazi tu ili kuwe na disko la waumini mcheze na bikini [emoji160]
Ukileta mada kama hizi tena zenye reference ya quran na hadithi Moderator ,YinYang Paw Wanazifuta eti unakashfu na kuleta uhasama ila hizi mada zisizo na mbele wala nyuma.zinazokashfu ukristo wao wanaona sawa tu. Tena mada nyingine wanapeleka kwenye jukwaa la alafu wewe mleta uzi hawakuingizi lwenye hilo jukwaa la dini. Majinga kabisa yana upendeleo na yanatunyanyasa na li forum lao.Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.
Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;
Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”
Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-
Quran 37:48-49:
And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.
“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]somaa mara kumi mkuu utaelewa tu..Huwez amini, sijakuelewa