Kucheza na kunywa ni ruksa, kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, kwanini kusiwe na disko maalum za wakristo?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
images (6).jpeg

Wala sikejeli maana kunywa ni ruksa, kucheza ni ruksa na mavazi yoyote waweza vaa maana kinachoangaliwa ni roho.

Nashangaa hii fursa bado haijachangamkiwa, kuna shida ipi kuanzisha night club za makanisa ikiwa kucheza ni ruksa, kunywa ni ruksa na kinachoangaliwa ni roho sio mavazi?

Ndani ya club waumini wanywe pombe, wavae mavazi ya kwendea disko na wacheze kwa kukata mauno maana hakuna mipaka ya kucheza.
 
Ni fursa ya kuweza kuwekezewa hata na makanisa yenyewe

Jina la club lina weza kuwa Upako night club, alhamisi kama kawa ladies free
 
Papa ameshatoa kibali waumini watoe vinyeo na waoane kanisa litafungisha ndoa ya jinsia moja, hata hiyo hoja yako ataifanyia kazi tu ili kuwe na disko la waumini mcheze na bikini [emoji160]
 
Kama taifa sheria na maadili yetu haziruhusu tamko hilo la kuruhusu kubariki wanaume kuingiliana, hapo inakuwaje ?
 
Sisi wapentecoste tuna disco letu (praise and worship events), kila ibada lazima iwe inamuda wa kusifu!

Kauli mbiu yetu ni "Mfalme Daudi alicheza mpaka nguo ikachanika"
 
Papa ameshatoa kibali waumini watoe vinyeo na waoane kanisa litafungisha ndoa ya jinsia moja, hata hiyo hoja yako ataifanyia kazi tu ili kuwe na disko la waumini mcheze na bikini [emoji160]
Kubwa jinga wewe,una uhakika wa hicho unachokisema?.Leta hati ya Papa inayoruhusu hicho ukisemacho.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Sisi wapentecoste tuna disco letu (praise and worship events), kila ibada lazima iwe inamuda wa kusifu!
Kauli mbiu yetu ni "Mfalme Daudi alicheza mpaka nguo ikachanika"
Yafaa kuwe na uhuru wa kuingia na pombe ili watu wachangamke zaidi na wala sio kosa kunywa huko pentekoste
 
We Gaidi unaishi kwenye mapango ya Torabora View attachment 2820067
nakazia, hili ndio tamko lote na chanzo ni makao makuu ya kanisa katoliki wala sio bbc

Disko linaendelea kama kawa. Zungukia makanisa j-mosi na j-pili. Ina maana wewe huoni wanavyoserebuka?

Huoni makongamano wanavyocheza ila hawavai kama kwenye picha yako.
Roma hawaserebuki miziki ya kina Rozi muhando.

Makanisa ya Mbeya yanaongoza kwa disco la yesu nadhani inafuatia Dar. Dar kuna makanisa yanakesha kucheza mziki hawana tofauti na club ila aina ya mziki.

Huku sebene la Fali Ipupa kule sebene la Rozi muhando. Ngoma droo
 
View attachment 2820049

Nashangaa hii fursa bado haijachangamkiwa, kuna shida ipi ikiwa kucheza ni ruksa, kunywa ni ruksa na kinachoangaliwa ni roho sio mavazi ?

Ndani ya club kuwe na pombe, Mziki mnene unapigwa, kuvaa sio shida hivyo hata mavazi ya disko hayana shida,
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
 
huu mjadala wetu wakristo hao kina takbir wanaingiaje humu ?

Toa mawazo ni vipi makanisa yanaweza kunogesha shughuli zake kwetu waumini, binafsi naona kucheza pekee kanisani haitoshi inabidi turuhusiwe kupata vibe kwa kustia kidogo glasi mbili ama tatu kwakuwa kunywa sio haramu
 
Papa ameshatoa kibali waumini watoe vinyeo na waoane kanisa litafungisha ndoa ya jinsia moja, hata hiyo hoja yako ataifanyia kazi tu ili kuwe na disko la waumini mcheze na bikini [emoji160]
Moderator , Paw ndio mada mnazipenda hizi. Tukioeta sisi mada tena tunatumia reference za quran na hadith mnazifuta ila nyuzi kama hizi zisizo na reference ya Biblia na comments zenye matusi juu ya Ukristo mnaziacha. Nimeanzisha mada Mbili leo mmezifuta zote na moja likiwa swali
1. Niliuliza, Je tone la manii ambalo Allah alilitumia kumuumba mwanadamu alilitoa wapi na alilitoaje? Je alikuwa na mwanamke au alipiga Punyeto kutoa tone la manii mkaufuta?
2. Nilileta reference toka katika quran na hadithi kuonesha namna gani Allah amewaruhusu waislam wanaume kupiga punyeto na wanawake nao kujiingiza matango nao mmeufuta.

Sawa bwana. Ngoja nipandishe uzi mwingine wa namna gani muddy(56) alikuwa anawaingilia wanyama wakati wake zake wapo kwenye siku zao 😆😁😄😃😀😅😆😁😄😃😀
 
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
Ukileta mada kama hizi tena zenye reference ya quran na hadithi Moderator ,YinYang Paw Wanazifuta eti unakashfu na kuleta uhasama ila hizi mada zisizo na mbele wala nyuma.zinazokashfu ukristo wao wanaona sawa tu. Tena mada nyingine wanapeleka kwenye jukwaa la alafu wewe mleta uzi hawakuingizi lwenye hilo jukwaa la dini. Majinga kabisa yana upendeleo na yanatunyanyasa na li forum lao.
 
Back
Top Bottom