Kuchimba Kisima cha Maji

Tougher

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
245
Reaction score
65
Wakuu mwenye uelewa anisaidie.

Naomba kujua gharama za kuchimba kisima chenye urefu (kina) cha mita 85 katika wilaya ya Mkuranga maeneo jirani na kimanzichana.

Natanguliza Shukrani


Tougher

N.B Nimekwishafanya Survey na report imetoka kuwa naweza kupata maji kwa kina hicho.
 
Nilichimba 3Million cha mita 85 kisenvule karubu na mkuranga nadhani bei itakua sawa.
 
Pampu ya uhakika 1.5M... Waya wa mita 100 kuifikia pampu mita 85 almost laki 4. Kuchimba almost 60,000/- per meter.. Tenki la Lita 5000 almost 1M... Control circuit ya system hiyo il majina yakiisha pampu inawaka yenyewe na maji yakijaa pampu inazima almost laki 2. Boksi la IP55 la kujengea circuit hiyo ni almost laki 1.5... JUMLISHA UPATE GHQRAMA YOTE
 
Hata mimi nahitaji kuchimba lkn naomba kujua total cost ya kuchimba kisima cha mita 60 tu nipo kibada kigamboni
 

laki 8!!
 
Kwa uzoefu wangu kuchimba ni 45k kww mita. Ukubwa wa pump unategemea unachimba mita ngapi. Gharama za waya na kamba etc zinategemeana na mita ulizochimba pia
Gharama zitaongezeka kama site iko mbali
 
pampu ya uhakika 1.5m... Waya wa mita 100 kuifikia pampu mita 85 almost laki 4. Kuchimba almost 60,000/- per meter.. Tenki la lita 5000 almost 1m... Control circuit ya system hiyo il majina yakiisha pampu inawaka yenyewe na maji yakijaa pampu inazima almost laki 2. Boksi la ip55 la kujengea circuit hiyo ni almost laki 1.5... Jumlisha upate ghqrama yote

Najaribu kuangalia u smart wako. Ungekuwa smart ungejua kuwa ni error na kuwa nilimaanisha milioni sio laki, kama wengine tulivyoelewa niliyo highlight kwa red. C'MON! BE A GENTLEMAN!
 

Hata mimi nahitaji kuchimba lkn naomba kujua total cost ya kuchimba kisima cha mita 60 tu nipo kibada kigamboni

Wakuu kuna member anajiita zebanga watelanga ameshawahi kuweka thread kuhusu bei ya kuchimba visima kwa mujibu wake yeye wana kampuni inafanya kazi hiyo namba yake (nimeicopy kutoka kwenye thread husika) ni 0712690760
 
Last edited by a moderator:
mkuu kmpuni gani imetumika kufanya water survey na mkuranga karibu nakimanzichana sehemu ya site inatwaje na umbaligani kutoka barabarani
 
kuku dume nachimba pamoja na water pump mita 60 kwa kila mita 65,000 ila nitafute tuweze zungunza zaidi mkuu 0712690760
 
Hapo gharama maximum ni 5 mil zaidi ya hapo unachakachuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…