Kuchimba Kisima cha Maji

Kuchimba Kisima cha Maji

kuku dume nachimba pamoja na water pump mita 60 kwa kila mita 65,000 ila nitafute tuweze zungunza zaidi mkuu 0712690760
Haipungui??
Nataka ukanifanyie kazi pale Mkuranga Mjini, uba uzoefu nako??
 
kuku dume nachimba pamoja na water pump mita 60 kwa kila mita 65,000 ila nitafute tuweze zungunza zaidi mkuu 0712690760
Mkuu hiyo ni kwa wale walioko jiji la Makonda. je walio nje ya jiji la Makonda gharama ni kiasi gani?
 
Kwanza kabla ya kuchimba lazima uwe na drilling permit na baada ya kuchimba inakupasa uwe na water use permit hizi zote zinatolewa na ofisi said maji bonde LA wami ruvu ilioko chini ya wizara ya maji yangu ni hayo tu
 
Back
Top Bottom