naogopa hata ile kitu nayoitafuta inaweza ikawa si yake pia.
Mchina oyeee!
Namshukuru Mungu najikubali na kujiamini nilivyo japo urembo natumia lakini maji yakipita tu nabaki kama nilivyo.
depends ile lust ilikuwa ni ya nini (wengine ni challenge tu kwamba fulani sijalala nae) au mwingine anapenda umbile fulani, hivyo atakuwa anakuja now and then kutaste tena na tena anachokitamani (mara nyingi hapa baada ya utamu wa hii asali mtu huishia kuchonga mzinga)
Mwingine ni challenge anataka kulala na wewe labda ni mgumu kukubali watu (hapo akishatimiza haja yake humuoni tena).., Lakini kumbuka sidhani hata kama ni hamu ya asali (ukishalamba leo, baada ya wiki hautataka tena).., My point being haya mambo ya mapenzi ni package yaani mtu anapenda kwa mtu kitu zaidi ya kimoja na ni vigumu mtu ku-pinpoint sababu ni hii au ile, hata kama experience ilikuwa mbaya in favourable conditions with the pants down a man will do it or come back again.
teh teh teh. Mancity 1 ManU 0.
lugha gani hiyo evvy? au swaga tu hizo?
My dear Okada......humu JF unavyoona avatar.....sio hivyo tupo.....nikikuwekea picha yangu halali utakimbia.....
Wangejua kusoma alama za ishara wangejua kirahisi. Mfano kila mwanaume anayedu nae hataki kurudia round ya pili, na haombi tena tundi...
Nimejaliwa miguu lakini hips sina, nina mpango wa kununua spandex yenye sponji za kuongeza hips.
Nimejaliwa macho makubwa na mazuri, shughuli ipo kwenye kope, ka vile hazipo, nina mpango
wa kupachika. Nina kitambi dizaini kwa mbali, na ukimbao mbao huu kanajitokeza naona tu ninunue
belt la kuminya tumbo ukivaa nguo.
Kucha natafuna sana ila haina shinda nitabandika za bandia
nionekane mrembo. Nywele ni za kipilipili, nikinyoa kama Flaviana naonekana mwanaume,
nakua sina jinsi zaidi ya kubandika weaving au kuvaa wigi.
Swali kwa akina dada wote ambao pia
wanatumia hivi viwezeshaji urembo, inakuaje siku unampango wa kukutana kwa ajili ya sex
na boyfriend wako. lets say weekend nzima? Unachojoa vyote hivo mbele yake?
yani wigi, kucha, hip spandex, kope, n.k pembeni na yeye anaona?
Au akina kaka wenye girlfriends ambao wanatumia viwezesha urembo hivi wapenzi
wenu wanatoa mbele yenu? Nipeni maujuzi siku ya siku huwa vitu feki hivi vinafanyweje?
Mwaaaaah.
Una pepo mbaya anayekufanya hujiamini. Pole sana ndugu yangu. Nafikiri wewe ni mzuri kuliko vila unavyofikiria.
Hivi ukijijaza makorokoro yote hayo huhisi kulemewa?!
Nimejaliwa miguu lakini hips sina, nina mpango wa kununua spandex yenye sponji za kuongeza hips.
Nimejaliwa macho makubwa na mazuri, shughuli ipo kwenye kope, ka vile hazipo, nina mpango
wa kupachika. Nina kitambi dizaini kwa mbali, na ukimbao mbao huu kanajitokeza naona tu ninunue
belt la kuminya tumbo ukivaa nguo.
Kucha natafuna sana ila haina shinda nitabandika za bandia
nionekane mrembo. Nywele ni za kipilipili, nikinyoa kama Flaviana naonekana mwanaume,
nakua sina jinsi zaidi ya kubandika weaving au kuvaa wigi.
Swali kwa akina dada wote ambao pia
wanatumia hivi viwezeshaji urembo, inakuaje siku unampango wa kukutana kwa ajili ya sex
na boyfriend wako. lets say weekend nzima? Unachojoa vyote hivo mbele yake?
yani wigi, kucha, hip spandex, kope, n.k pembeni na yeye anaona?
Au akina kaka wenye girlfriends ambao wanatumia viwezesha urembo hivi wapenzi
wenu wanatoa mbele yenu? Nipeni maujuzi siku ya siku huwa vitu feki hivi vinafanyweje?
Mwaaaaah.[/QU
Wa
Mzuri naturale utamjua tu. Hongera Caroline Danzi.