Kuchojoa wakati wa SEX. Msaada Plz.

Kuchojoa wakati wa SEX. Msaada Plz.

Kaunga na wewe umeona eeh? Tuko is so honest, napenda michango yake.
kuna moja juzi kagusia ya flexibility, mambo ya wine na makuku, nilibaki mdomo wazi.:shock:
Sex relieves tension - love causes it!
A%20S-heart-2.gif

Naikubali sana hii signature yako Erotica
 
...ngoja nipate maujuzi nitakumwagia hapa 🙂 mie bana sipindi chochote kile ambacho ni artificial, naweza nikaruhusu extension ya nywele, lakini kucha na mazagazazaga mengine yoyote yale siyapendelei kabisa.

Umeona ulikua wanibania mchango mwanana! will work on it. nasubiri maujuzi mengine. teh teh teh.
 
Trust me hakuna kitu kinachosaidia kama confidence.., sasa kama wewe unajiona ni mfupi na hupendi ufupi wako kwanini ukiwa nje usivae viatu virefu (yaani hapo hata kazini utachapa kazi bila shida, ila ukiwa unakishitukia.., hata yale mazuri yako.., mwanya, smile na macho utashindwa kuyaonyesha as utakuwa busy unaficha ufupi na kujishitukia)

Una matipis ya ukweli. Nikuulize kitu nahisi utanijibu ukweli. A guy anapokua na lust kwa
mwanamke what determines he will be back or not after the first sex trial?
 
Thread imefika half time, will be back after half time.
 
Natamani hapo ulipoishia love causes it ungemalizia kabisa and marriage multiplies it... hahahaaa
 
teh teh teh. uzuri mamito. watu wanaenda an extra mile kuonekana.
heri yako ulisha mpata Baba Ashrat hunaga pressure.
Hata kama bwana.Mbona na mie bado najitahidi kupendeza kwaajili yake (asije akadata kwa urembo wa jirani) ila sifiki huko. Nadhani ni vizuri mtu akiwa na kiasi ili hata akichojoa nguo, akanawa na uso asiwe tofauti sana na alivyokuwa mwanzo. Yani usimfanye mwenzio ashindwe kuimagine ukiamka asubuhi unakuwa vipi, ashindwe hata kukuangalia huku akitabasamu hiyo asubuhi.
 
Duh huu uzi umenikumbusha mbali kweli! Kuna kipindi(miaka ya nyuma kidogo) nlienda kula uroda na mtu short time, akawa amepiga underskirt, kapensi laini, skin tight na chupi ndani. Khaa! Hakufichika machoni unamuona kabisa confidence lipo down.
 
Una matipis ya ukweli. Nikuulize kitu nahisi utanijibu ukweli. A guy anapokua na lust kwa
mwanamke what determines he will be back or not after the first sex trial?
depends ile lust ilikuwa ni ya nini (wengine ni challenge tu kwamba fulani sijalala nae) au mwingine anapenda umbile fulani, hivyo atakuwa anakuja now and then kutaste tena na tena anachokitamani (mara nyingi hapa baada ya utamu wa hii asali mtu huishia kuchonga mzinga)

Mwingine ni challenge anataka kulala na wewe labda ni mgumu kukubali watu (hapo akishatimiza haja yake humuoni tena).., Lakini kumbuka sidhani hata kama ni hamu ya asali (ukishalamba leo, baada ya wiki hautataka tena).., My point being haya mambo ya mapenzi ni package yaani mtu anapenda kwa mtu kitu zaidi ya kimoja na ni vigumu mtu ku-pinpoint sababu ni hii au ile, hata kama experience ilikuwa mbaya in favourable conditions with the pants down a man will do it or come back again.
 
Itakuwa poa maana anajua beibe wake nipo kifake zaidi.
 
Hata kama bwana.Mbona na mie bado najitahidi kupendeza kwaajili yake (asije akadata kwa urembo wa jirani) ila sifiki huko. Nadhani ni vizuri mtu akiwa na kiasi ili hata akichojoa nguo, akanawa na uso asiwe tofauti sana na alivyokuwa mwanzo. Yani usimfanye mwenzio ashindwe kuimagine ukiamka asubuhi unakuwa vipi, ashindwe hata kukuangalia huku akitabasamu hiyo asubuhi.

Nimekusoama mamito. Sante.
 
Duh huu uzi umenikumbusha mbali kweli! Kuna kipindi(miaka ya nyuma kidogo) nlienda kula uroda na mtu short time, akawa amepiga underskirt, kapensi laini, skin tight na chupi ndani. Khaa! Hakufichika machoni unamuona kabisa confidence lipo down.

Hio tunaita kujaradia. maarufu ukivaa skirt mini tite.
 
Back
Top Bottom