...ngoja nipate maujuzi nitakumwagia hapa 🙂 mie bana sipindi chochote kile ambacho ni artificial, naweza nikaruhusu extension ya nywele, lakini kucha na mazagazazaga mengine yoyote yale siyapendelei kabisa.
Trust me hakuna kitu kinachosaidia kama confidence.., sasa kama wewe unajiona ni mfupi na hupendi ufupi wako kwanini ukiwa nje usivae viatu virefu (yaani hapo hata kazini utachapa kazi bila shida, ila ukiwa unakishitukia.., hata yale mazuri yako.., mwanya, smile na macho utashindwa kuyaonyesha as utakuwa busy unaficha ufupi na kujishitukia)
Thread imefika half time, will be back after half time.
Hata kama bwana.Mbona na mie bado najitahidi kupendeza kwaajili yake (asije akadata kwa urembo wa jirani) ila sifiki huko. Nadhani ni vizuri mtu akiwa na kiasi ili hata akichojoa nguo, akanawa na uso asiwe tofauti sana na alivyokuwa mwanzo. Yani usimfanye mwenzio ashindwe kuimagine ukiamka asubuhi unakuwa vipi, ashindwe hata kukuangalia huku akitabasamu hiyo asubuhi.teh teh teh. uzuri mamito. watu wanaenda an extra mile kuonekana.
heri yako ulisha mpata Baba Ashrat hunaga pressure.
Thread imefika half time, will be back after half time.
depends ile lust ilikuwa ni ya nini (wengine ni challenge tu kwamba fulani sijalala nae) au mwingine anapenda umbile fulani, hivyo atakuwa anakuja now and then kutaste tena na tena anachokitamani (mara nyingi hapa baada ya utamu wa hii asali mtu huishia kuchonga mzinga)Una matipis ya ukweli. Nikuulize kitu nahisi utanijibu ukweli. A guy anapokua na lust kwa
mwanamke what determines he will be back or not after the first sex trial?
Mkuu klorokwini hayo mahips anayoyazungumzia Erotica sijawahi kuyaona wala siyajui yanafananaje LOL!...naangalia mpira sasa unaanza in 2 minutes
Poa jibaba, mwenyewe namuangalia kompany anavyomweka sawa mtu
Hata kama bwana.Mbona na mie bado najitahidi kupendeza kwaajili yake (asije akadata kwa urembo wa jirani) ila sifiki huko. Nadhani ni vizuri mtu akiwa na kiasi ili hata akichojoa nguo, akanawa na uso asiwe tofauti sana na alivyokuwa mwanzo. Yani usimfanye mwenzio ashindwe kuimagine ukiamka asubuhi unakuwa vipi, ashindwe hata kukuangalia huku akitabasamu hiyo asubuhi.
Duh huu uzi umenikumbusha mbali kweli! Kuna kipindi(miaka ya nyuma kidogo) nlienda kula uroda na mtu short time, akawa amepiga underskirt, kapensi laini, skin tight na chupi ndani. Khaa! Hakufichika machoni unamuona kabisa confidence lipo down.