yapo magonjwa mengi yanayoambatana na dalili hizo mbili. kuchoka na usingizi. hivyo sio rahisi kukupa ushauri bila kujua chanzo cha tatizo lako. ni vizuri ukaenda kuonana na daktari. kupuuzia dalili zinazoonekana ndogo kama hizi huweza kusababisha madhara makubwa baadae pale unapokuja gundua ulikua na tatizo muda mrefu. nenda kafanye checkup.Habari... Kuchoka mwili na kujisikia uchovu na usingizi mara mara hua inasababishwa na nini? Na je nifanye nini ili kuepukana na hizi hali?
Upungufu wa damu pia husababisha kujisikia uchofu, kaangalie kama huna tatizo hilo.
mi nimechoka viungo nahitaji massage.
Zipo aina nyingi za massage ipi uitakayo?
Habari... Kuchoka mwili na kujisikia uchovu na usingizi mara mara hua inasababishwa na nini? Na je nifanye nini ili kuepukana na hizi hali?
Kutibu Ulegevu Na Uvivu
kunywa- kabla ya kula juisi ya machungwa iliochanganywa matone kumi ya mafuta ya Habbat-Sawdaa. Utaendelea hivyo kwa muda wa siku kumi. Baada ya hapo Utaona nishati na uchangamfu na nguvu mwilini mwako. Ukiwa na shida zingine waweza kunitafuta kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
Mafuta ya Habbat Sawda.
Habbat Sawda Dawa ya kila Maradhi kasoro kifo tu Mkuu slim5 endelea kutumia utaona faida yake hongera sana.Kaka MziziMkavu hii habat sawdaa nzuri sana hii! Mii naitumiaga na asali ama tende! Daah khabari yake kubwa sana mkuu!
Habbat Sawda Dawa ya kila Maradhi kasoro kifo tu Mkuu slim5 endelea kutumia utaona faida yake hongera sana.
Habbat Sawda Dawa ya kila Maradhi kasoro kifo tu Mkuu slim5 endelea kutumia utaona faida yake hongera sana.
Kaka MziziMkavu hii habat sawdaa nzuri sana hii! Mii naitumiaga na asali ama tende! Daah khabari yake kubwa sana mkuu!
Ukitaka kujuwa matumizi ya Dawa ya Habbat Sawda Tembelea bonyeza hapa.Matumizi Ya Kunufaisha Ya Habbat Sawdaa (Haba Soda - Chembe Nyeusi )Naomba kujuzwa faida ya habat sawadaa kwa undani, tafadhari.
Matone kumi ni sawasawa na kijiko kidogo 1 cha sukari.matone kumi ni saawa na vijiko vya sukari vingapi mzizi
Nenda kaulize katika maduka ya dawa za kisunna popote pale ulipo unaweza kupata. Hii Dawa kiboko ya kila Maradhi hata Maradhi ya ukimwi inaweza kutibu ukitumia pamoja na Asali Safi ya nyuki.Mkuu hii inapatikana wapi hii mahabati soda.....
Mkuu hii inapatikana wapi hii mahabati soda.....