Kuchoka mwili

Kuchoka mwili

Jonash

Senior Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
164
Reaction score
37
Habari... Kuchoka mwili na kujisikia uchovu na usingizi mara mara hua inasababishwa na nini? Na je nifanye nini ili kuepukana na hizi hali?
 
Habari... Kuchoka mwili na kujisikia uchovu na usingizi mara mara hua inasababishwa na nini? Na je nifanye nini ili kuepukana na hizi hali?
yapo magonjwa mengi yanayoambatana na dalili hizo mbili. kuchoka na usingizi. hivyo sio rahisi kukupa ushauri bila kujua chanzo cha tatizo lako. ni vizuri ukaenda kuonana na daktari. kupuuzia dalili zinazoonekana ndogo kama hizi huweza kusababisha madhara makubwa baadae pale unapokuja gundua ulikua na tatizo muda mrefu. nenda kafanye checkup.
je,hamu yako ya kula imebadilika? unachoka muda wote? je unapata kiu mara kwa mara? una huzuni au mawazo? unashindwa kufanya kazi zako vizuri? una shida ya kusahau, kushindwa kuconcentrate au kufanya maamuz?
 
hiyo ni shida ambayo watu wengi wanayo, mwili wako kwandani umechoka hauna nguvu sasa wewe kwanje unajiona uko fresh kwavile huumwi maali, inasababishwa na ulaji mbaya au matumizi mabaya ya vyakula, kwamaelezo zaidi nipm nikupatie na tiba yake
 
Upungufu wa damu pia husababisha kujisikia uchofu, kaangalie kama huna tatizo hilo.
 
Habari... Kuchoka mwili na kujisikia uchovu na usingizi mara mara hua inasababishwa na nini? Na je nifanye nini ili kuepukana na hizi hali?

Kutibu Ulegevu Na Uvivu

kunywa- kabla ya kula – juisi ya machungwa iliochanganywa matone kumi ya mafuta ya Habbat-Sawdaa. Utaendelea hivyo kwa muda wa siku kumi. Baada ya hapo Utaona nishati na uchangamfu na nguvu mwilini mwako. Ukiwa na shida zingine waweza kunitafuta kwa kubonyeza hapa.
Mawasiliano

264px-Nigella_sativa_oil.jpg

Mafuta ya Habbat Sawda.
 
Kaka MziziMkavu hii habat sawdaa nzuri sana hii! Mii naitumiaga na asali ama tende! Daah khabari yake kubwa sana mkuu!
 
Last edited by a moderator:
7bu-Punyeto....
Suluhisho-Acha punyeto
Jinsi ya kuacha punyeto- tafuta uzi humu ndani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom