Kuchokwa huku, CCM ijitafakari

Kuchokwa huku, CCM ijitafakari

Kwanini hamuendi mahakamani? Ingawa hizo data ulizoandika hapa ni uwongo mtupu.
Mahakama zipi, hizi zenye kesi ya kina mdee zaidi ya miaka miwili sasa bila hukumu? Wasio na akili tu ndio wanaamini mahakama hizi.

Kama huamini data zangu hebu kaangalie kinachoendelea kwenye uchaguzi mdogo wa Mbarali, kwanza hakuna hata anayejua kama kuna uchaguzi kisa CDM hawashiriki.
 
Back
Top Bottom