KIDOLEGUMBA
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 498
- 110
Jana tu?
Anaendeleaje sasa?
Vichomi hivi huwapata baadhi ya akina dada/mama. Pia lazima kujua aina ya kichomi hicho na kukadumu kwa muda gani.
Kuna kinachikuwa kama kisu kimechomwa na kinadumu for few seconds or minutes, sababu ni tofauti.
Kuna vingine ni matokeo ya michezo yenu, unamchubua mwenzio.
Kuna vingine ni akiwa karibu na kujimwezisha anapata aina fulani ya vichomi.
Lakini pia watakiwa kujua, je ni mjamzito?
Ana infection ya aina yeyote?
Kikubwa kamwoneni gyno.
vichomi hivi huwapata baadhi ya akina dada/mama. Pia lazima kujua aina ya kichomi hicho na kukadumu kwa muda gani.
Kuna kinachikuwa kama kisu kimechomwa na kinadumu for few seconds or minutes, sababu ni tofauti.
Kuna vingine ni matokeo ya michezo yenu, unamchubua mwenzio.
Kuna vingine ni akiwa karibu na kujimwezisha anapata aina fulani ya vichomi.
Lakini pia watakiwa kujua, je ni mjamzito?
Ana infection ya aina yeyote?
Kikubwa kamwoneni gyno.
huyo fanya umpeleke hospital.huyo ni kwamba kizazi kimeshuka kipo chini.kwa huduma ya kwanza mwambie achemshe maji ya moto halafu aweke kwenye ndoo au kisado.halafu achukue mafuta ya nazi achanganye na maji hayo then akalie hayo maji kwa muda wa dk 5 ili mvuke uweze kuingia ukeni.afanye km mara tatu natumai itakwisha
Hii taaluma ni ya asili au hutoka kwa wanasayansi wa hospitalini?
Vichomi hivi huwapata baadhi ya akina dada/mama. Pia lazima kujua aina ya kichomi hicho na kukadumu kwa muda gani.
Kuna kinachikuwa kama kisu kimechomwa na kinadumu for few seconds or minutes, sababu ni tofauti.
Kuna vingine ni matokeo ya michezo yenu, unamchubua mwenzio.
Kuna vingine ni akiwa karibu na kujimwezisha anapata aina fulani ya vichomi.
Lakini pia watakiwa kujua, je ni mjamzito?
Ana infection ya aina yeyote?
Kikubwa kamwoneni gyno.
huyo fanya umpeleke hospital.huyo ni kwamba kizazi kimeshuka kipo chini.kwa huduma ya kwanza mwambie achemshe maji ya moto halafu aweke kwenye ndoo au kisado.halafu achukue mafuta ya nazi achanganye na maji hayo then akalie hayo maji kwa muda wa dk 5 ili mvuke uweze kuingia ukeni.afanye km mara tatu natumai itakwisha
ok weka picha basi tuone kama kwel
huwa vinashuka, sema ni nadra mno, usiombee haya matatizo, kuna magonjwa ya kutisha mno.We ni doctor wa kichakani. Kizazi kinashuka chini ardhini au wapi.
ok weka picha basi tuone kama kwel