KIDOLEGUMBA
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 498
- 110
Habari wadau, jana jioni mpenzi wangu ameniambia anajisikia kuchomwa chomwa ndani ya uke (kichomi), nikaona nije nijaribu kupata huduma ya kwanza kutoka kwa wadau wa afya kabla hatujachukua hatua za ziada za kwenda hospital, je anaweza akawa anasumbuliwa na ugonjwa gani wenye hizo dalili?