Kuchomekea shati kingereza tunasemaje

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kwa mfano unataka utunge sentensi kwa kingereza inayosema "Thomas amechomokea shati na kufanya aonekane nadhifu"
 
Thomas looking sublime.
Chezea mimi wewe, yaani hapo sijanywa ndio maana nimeshindwa kuandika hiyo sentensi, sasa ikitokea nimekunywa balimi walahi kiingereza kinakuwa kinapanda kwa kasi sana
 
Thomas looking sublime.
Chezea mimi wewe, yaani hapo sijanywa ndio maana nimeshindwa kuandika hiyo sentensi, sasa ikitokea nimekunywa balimi walahi kiingereza kinakuwa kinapanda kwa kasi sana
Haha wewe ndo wale wale kuruka kichura chura ndo jump kifrog frog
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…