Kuchonga funguo za sefu

Kuchonga funguo za sefu

Screenshot_20240104-185757_WhatsApp.jpg
 
Hakuna kitu hapo, binadamu tumeumbwa na shauku(curiousity) sana, hakuna mtu anaweza kukaa na barua miaka 7 bila kuifungua eti kisa umeambiwa usifungue mpaka 2024

Yaani hapo hata mwezi tu usingetoboa lazima tu ungekua ushaisoma... Hii ni chai au anatafutwa mtu apigwe na kitu kizito....

Eti nimeficha, yaani mnashirikiana watu 24 kuficha kitu???

Shenzi
Inawezekana Mimi Babu yangu alirithishwa na Babu yake gold uzito wa kg 1.87, alimwita shambani kwake mjukuu akiwa 31 Babu 89 akampa karatasi ndani ya bahasha akamwambia aichonge kiti kama drop ya kioo aifiche na kuitunza na asimwambie yeyote na aifungue miezi SITA baada ya Babu kufa kweli mzee alikufa 6 yrs later na miezi 6 baadae jamaa akafungua Ile bahasha.
Akakuta maelekezo akaenda usiku wa manane karibu na mti flani kuchimba kama mita na nusu deep akakuta mtungi wa udongo hauna mdomo akauvunja akakuta kitofali Cha gold nadhani hata wengine tumeikuta hiyo neema, so mzee akikutunuku ndo hivyo na kama mleta mada kaleta uongo sijui lakini nimeishuhudia Kwa Babu mzaa baba
 
Back
Top Bottom