Kuchonga funguo za sefu

Inawezekana Mimi Babu yangu alirithishwa na Babu yake gold uzito wa kg 1.87, alimwita shambani kwake mjukuu akiwa 31 Babu 89 akampa karatasi ndani ya bahasha akamwambia aichonge kiti kama drop ya kioo aifiche na kuitunza na asimwambie yeyote na aifungue miezi SITA baada ya Babu kufa kweli mzee alikufa 6 yrs later na miezi 6 baadae jamaa akafungua Ile bahasha.
Akakuta maelekezo akaenda usiku wa manane karibu na mti flani kuchimba kama mita na nusu deep akakuta mtungi wa udongo hauna mdomo akauvunja akakuta kitofali Cha gold nadhani hata wengine tumeikuta hiyo neema, so mzee akikutunuku ndo hivyo na kama mleta mada kaleta uongo sijui lakini nimeishuhudia Kwa Babu mzaa baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…