johansen josephat
Member
- Jul 9, 2016
- 37
- 26
Ahsante kwa mchango Wako... siwez kuchukia Ushauri wa mtu yeyote .I appreciate thatNikikuelekeza nitskuwa nimeshiriki dhambi kwa maana hiyo basi ngoja waje wengine Mkuu subili hapohapo
Thank you.... Mungu akubarikKuchora tatuuu ni haramu.
I know Every type of Tattoo, hata pengine wew usizo zijua but... niliuliza kwa wakazi wa mwanza Ungesema nenda makoroboi tu... Hayo mengine hayana maana ndg yng ... Any way Ahsante kwa ushauri weko pia siwez mchukia yeyote.Nenda makoroboi wanachora, ila siku ukitaka kufuta usirudi kuuliza
Enx Bailly5Acha hiyo kitu
Ilikua angalizo kuna wenzio huwa wanakuja kuuliza jinsi ya kufuta wamaambiwa wachome na pasi....I know Every type of Tattoo, hata pengine wew usizo zijua but... niliuliza kwa wakazi wa mwanza Ungesema nenda makoroboi tu... Hayo mengine hayana maana ndg yng ... Any way Ahsante kwa ushauri weko pia siwez mchukia yeyote.
Naheshim sana mawazo ya kila moja
Nenda makoroboi wanachora, ila siku ukitaka kufuta usirudi kuuliza
choma na pasi😀Na mimi msaada tafadhal nataka kufuta !! Kuingia rahisi kutoka sasa Ni balaa Kama madawa vile
Wewe mwanamke Una roho ngumu aiseechoma na pasi😀