Kuchora tattoo

Kuchora tattoo

Joined
Jul 9, 2016
Posts
37
Reaction score
26
Habarin Wakuu

Nahitaji msaada kwa yeyote alioko mwanza Mm ni mgeni kwenye maswala ya kuchora tattoo naomba msaada kwa yeyote anaye fahamu wanapo chorea Anipe ramani nataka kuchora jina la mwanangu
 
Nikikuelekeza nitskuwa nimeshiriki dhambi kwa maana hiyo basi ngoja waje wengine Mkuu subili hapohapo
 
Nenda makoroboi wanachora, ila siku ukitaka kufuta usirudi kuuliza
 
Nenda makoroboi wanachora, ila siku ukitaka kufuta usirudi kuuliza
I know Every type of Tattoo, hata pengine wew usizo zijua but... niliuliza kwa wakazi wa mwanza Ungesema nenda makoroboi tu... Hayo mengine hayana maana ndg yng ... Any way Ahsante kwa ushauri weko pia siwez mchukia yeyote.

Naheshim sana mawazo ya kila moja
 
Ilikua angalizo kuna wenzio huwa wanakuja kuuliza jinsi ya kufuta wamaambiwa wachome na pasi....
ni hivo tu
 
Back
Top Bottom