sisi ni ndugu
Senior Member
- Sep 4, 2018
- 121
- 136
Mpe na muongozo wa jumla ya gharamaAgiza nje
Mkuu naomba kidogo utoe prons and cons za both yard and nje ukiagiza ndinga yako.Najua iyo pesa inakuwasha inataka gari leo kesho. Ila kuwa na subira agiza nje bàada ya miezimiwili unasukuma ndinga saaafi. achana na hizi za yard
Daah usiombe mkuu,ile kusubiri inakuwa ngumu mnooo yaniNajua iyo pesa inakuwasha inataka gari leo kesho. Ila kuwa na subira agiza nje bàada ya miezimiwili unasukuma ndinga saaafi. achana na hizi za yard
Boss wafanyabiashara wengi wa magari ya yard hapa bongo ni makanjanja sana. Wanauza magari yaliyotumika mda mrefu japan au yaliyopata demage kubwa ambao kule wanayanunua kwa bei karibu na bure. Wakiyaleta huku wanayakarabati lakni pia wanacheza na odometer kurudisha nyuma milege gari ionekane imetembea km kidogo.Mkuu naomba kidogo utoe prons and cons za both yard and nje ukiagiza ndinga yako. Naomba ili tujifunze wengine.pia Nina swali lingine ivi mfano naagiza zero mileage Kama hizi V8 afu nalipa kesho 400M Tzs...
Kufuatiliwa ni lazima na utapigwa maswali ya kutosha,lazima uwe na maelezo ya hiyo ela namna ilivyopatikana,yote ayo ni kwa ajili ya kuzuia money laundering,otherwise ingekua ni easy tu watu kutakatisha fedhaMkuu naomba kidogo utoe prons and cons za both yard and nje ukiagiza ndinga yako. Naomba ili tujifunze wengine.pia Nina swali lingine ivi mfano naagiza zero mileage Kama hizi V8 afu nalipa kesho 400M Tzs...
Sasa kama mapato yako hayana shida una wasi wasi gani? Kama unalipa kodi kwa mchongo jiandaeMkuu naomba kidogo utoe prons and cons za both yard and nje ukiagiza ndinga yako. Naomba ili tujifunze wengine.pia Nina swali lingine ivi mfano naagiza zero mileage Kama hizi V8 afu nalipa kesho 400M Tzs...
Nenda yard kanunuwe gari acha miluzi mingi, mimi naelewa kote kuagiza na kununuwa Bongo.Habari za jioni wataalam. Msaada wa ushauri, kuna budget ya 15M nahitaji toyota ya kuzugia mjini, napendelea sana toyota premio isiyozidi 1500cc , je ni nzuri au unashauri nichukue aina gani? Je utaratibu mzuri ni kuagiza au kwenda yard kujichagulia?? Naomba ushauri wenu wataalam
Thank you be blessed ndugu.Boss wafanyabiashara wengi wa magari ya yard hapa bongo ni makanjanja sana. Wanauza magari yaliyotumika mda mrefu japan au yaliyopata demage kubwa ambao kule wanayanunua kwa bei karibu na bure...
Thanks mkuu. Mana watanicheki tra nilicholipa Kodi ni kidogo ama hakiendani na hela nayomilikiKufuatiliwa ni lazima na utapigwa maswali ya kutosha,lazima uwe na maelezo ya hiyo ela namna ilivyopatikana,yote ayo ni kwa ajili ya kuzuia money laundering,otherwise ingekua ni easy tu watu kutakatisha fedha
Duu Nina Imani mapato hayalingani kabisa.Sasa kama mapato yako hayana shida una wasi wasi gani? Kama unalipa kodi kwa mchongo jiandae
Punguza ujanja ujanja sasa mkuu, na lipa kodi kama inavyostahili, kwa sababu ipo siku utakamatwa na hautakuwa na pa kutokea, utajikuta unapoteza vyote ulivyonavyo...kama wanavyosema za mwizi ni arobaini, ipo siku tuuDuu Nina Imani mapato hayalingani kabisa.
Anzia kule juu wao utajiri walio nao unalingana na mapato TRA kweli. Cheki mtu anamiliki ten bilioni halafu huko TRA hata hajalipa nusu bilioni ifikePunguza ujanja ujanja sasa mkuu, na lipa kodi kama inavyostahili, kwa sababu ipo siku utakamatwa na hautakuwa na pa kutokea, utajikuta unapoteza vyote ulivyonavyo...kama wanavyosema za mwizi ni arobaini, ipo siku tuu
Mkuu nenda beforeward chagua gari unayoitaka omba invoice,nenda office zao hapa Dar uende na copy ya invoice lipa watumie Japan. Gari itachelewa kama miezi 2 kwa Sababu ya paper works na shipping time, ila utasave around 2m kuliko yardHabari za jioni wataalam. Msaada wa ushauri, kuna budget ya 15M nahitaji toyota ya kuzugia mjini, napendelea sana toyota premio isiyozidi 1500cc , je ni nzuri au unashauri nichukue aina gani? Je utaratibu mzuri ni kuagiza au kwenda yard kujichagulia?? Naomba ushauri wenu wataalam
Tatizo la yard wana tabia ya kurudisha kilometa za gari nyuma,inaoshwa safi. Ukiiona unasema ipo vizuri kumbe watu washatembelea hapa bongo muda sana.Habari za jioni wataalam. Msaada wa ushauri, kuna budget ya 15M nahitaji toyota ya kuzugia mjini, napendelea sana toyota premio isiyozidi 1500cc , je ni nzuri au unashauri nichukue aina gani? Je utaratibu mzuri ni kuagiza au kwenda yard kujichagulia?? Naomba ushauri wenu wataalam