Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kumbe wewe ni junior staff eeh?Inategemea na taasisi uliko,mimi ni junior staff kwenye taasisi x na uwezo wangu wa kudunduliza kwenye salary na posho unanipa Kati ya mil.8-10 kwa mwaka so naweza ku skip mikopo kwa sababu pia naiogopa..