Kuchukua muda mrefu baada ya kumaliza kufika kileleni mara ya kwanza

mavangah

Senior Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
113
Reaction score
23
Wandugu,

Nimekuwa nachelewa sana kupiss katika tendo la ndoa mara baada ya kumaliza bao la kwanza sijajua hii hali ni ya kawaida kwa wanaume au kuna tatizo linaninyemelea?

Maana muda mwingine inafika kipindi mwenza wangu hahitaji tena kuendelea kusex na mimi na kusema amechoka wakati mimi bado nipo erected na sijafika bao la pili; hii inapelekea tunamaliza tendo hivo hivo bila ya mimi kutoa bao la pili wakati yeye akiwa tayari kafika kileleni.

Nawasilisha kwenu wakuu,

Ahsanteni!
 
....shida yako nn, ww kuwa mtundu wakati unapiga moja yy aende hata mara kadhaa kulingana maumbile yake, ishu sio mara ngapi, ni kimfikisha mwenzio kileleni

Tatzo langu mm nashindwa kufika bao la pili najikuta mwenzangu kashafika zaid ya matatu na hatak tuendelee
 
inachukua mda gani...?... lakini hata hivyo kitendo cha kumudu kuridhisha mwenzio basi inatosha...
 

Acha nyeto.
 
pole sana mzee,, jaribu kuweka mawazo yako yote kwenye tendo hilo
utapiga bao mapema iwezekanavyo !
Inaonekana una stress nyingi....
 
Nlikuw koz ya kijesh nahii nayo inaweza kuw sababu??
 

Acha nyeto.

hayo ndio madhara ya punyeto
mdau apo ameshakuambia uache
 
Kwanza kabisa natumai kuwa ulikuwa mshiriki mzuri wa kufunga magoli ya mkono(punyeto).
Wakat mwingine unasumbuliwa na tatizo la kihisia kwamba labda umesha duu naye mara nyingi so unamuona wa kawaida na unapoanza kutafuta goli la Busungu v Simba unatafuta kwa sababu tu dushe limesimama na sio kwamba unaitaji kweli hyo kitu.!
Msaada pekee ninaoweza kukupa ni JITAHID KUWEKA FIKRA ZOTE HAPO KTK TENDO NA HUKU HISIA UKIZIWEKA KWELI KTK UKIFANYACHO NA UTAFANIKIWA
 
Doh goli la mkono nshwah kuw mwanachama miaka 3 iliyopita
 
Utakuwa hujakatwa govi,nenda kakatwe utasikia unakojoa ukiona tu papuchi.
Hii inatokana na kwamba govi halina mishipa ya damu ikupe stim tofauti kichwa cha dushe kama kimetairiwa kipo sensitiv sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…