mavangah
Senior Member
- Sep 9, 2015
- 113
- 23
Wandugu,
Nimekuwa nachelewa sana kupiss katika tendo la ndoa mara baada ya kumaliza bao la kwanza sijajua hii hali ni ya kawaida kwa wanaume au kuna tatizo linaninyemelea?
Maana muda mwingine inafika kipindi mwenza wangu hahitaji tena kuendelea kusex na mimi na kusema amechoka wakati mimi bado nipo erected na sijafika bao la pili; hii inapelekea tunamaliza tendo hivo hivo bila ya mimi kutoa bao la pili wakati yeye akiwa tayari kafika kileleni.
Nawasilisha kwenu wakuu,
Ahsanteni!