N nesto lee 360 Member Joined Jul 2, 2016 Posts 19 Reaction score 19 Aug 9, 2024 #1 Je ni biashara gani naweza kwenda kuchukua china na kuanzisha Tanzania mtaji wangu ni milioni 25 ninaitegemea pia kwa bajeti yote ya usafili
Je ni biashara gani naweza kwenda kuchukua china na kuanzisha Tanzania mtaji wangu ni milioni 25 ninaitegemea pia kwa bajeti yote ya usafili
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 9,953 Reaction score 23,150 Aug 9, 2024 #2 nesto lee 360 said: Je ni biashara gani naweza kwenda kuchukua china na kuanzisha Tanzania mtaji wangu ni milioni 25 ninaitegemea pia kwa bajeti yote ya usafili Click to expand... Wew unafkiria ipi na ipi?
nesto lee 360 said: Je ni biashara gani naweza kwenda kuchukua china na kuanzisha Tanzania mtaji wangu ni milioni 25 ninaitegemea pia kwa bajeti yote ya usafili Click to expand... Wew unafkiria ipi na ipi?
Chance ndoto JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 4,363 Reaction score 10,265 Aug 9, 2024 #3 Nguo, Saa, urembo, electronics na mapambo.
L Lakabu JF-Expert Member Joined May 26, 2023 Posts 511 Reaction score 1,277 Aug 15, 2024 #4 unataka kufanya biashara gani?
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 48,052 Reaction score 104,677 Aug 15, 2024 #5 Biashara inafeli kabla haijaanza. Mawazo yanatakiwa kuanza na wewe mkuu.
kayanda01 JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,216 Reaction score 1,062 Dec 23, 2024 #6 nesto lee 360 said: Je ni biashara gani naweza kwenda kuchukua china na kuanzisha Tanzania mtaji wangu ni milioni 25 ninaitegemea pia kwa bajeti yote ya usafili Click to expand... Mkuu, ulipata wazo?
nesto lee 360 said: Je ni biashara gani naweza kwenda kuchukua china na kuanzisha Tanzania mtaji wangu ni milioni 25 ninaitegemea pia kwa bajeti yote ya usafili Click to expand... Mkuu, ulipata wazo?