Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
Katika uchunguzi wa mauaji na matukio ya kihalifu, mara nyingi mtuhumiwa huwa si mtu mgeni kwa mwathirika. Anaweza kuwa rafiki, ndugu, mwenza au mtu anayemfahamu kwa karibu na kuelewa mienendo, mahusiano na mazingira yake.
Hivyo, katika uchunguzi wa mauaji, uhusiano kati ya mwathirika na mtuhumiwa ni miongoni mwa maeneo muhimu yanayochunguzwa ili kusaidia kuelewa mazingira na chanzo cha tukio.
Dhana hii imejadiliwa kwa kina katika taaluma ya Forensic Psychology (Saikolojia ya Kiuchunguzi) na tafiti za mauaji (Homicide Research), ikiwemo kazi za Dkt. Eric W. Hickey kuhusu uhusiano kati ya waathirika na wahalifu.
Kuweni makini na watu wanaowazunguka.