Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuu Ni Nini?Sipendi tabia ya baadhi ya member wa Jf kujikuta baraza la kiswahili. Yaani wewe umeandika anakosoa, hata kama umesoma art basi vunga. Wewe jibu mada pita na zako hakuna atakaye kupongeza kwa kuandika bila kujali.
Mtuache, cheki huyu kosa langu lipo wapi?
View attachment 2453999
Au tuu kaamua aropoke? Fateni yenu, mliojoungia kujadili mambo ya r na l tuachie sisi; hayakuhusu chamsingi kilichoandikwa kimeeleweka!
Afadhali wewe R na L. Kuna yule mwanamama jaji mkuu Kenya nouma yani Ballot box anaita mbarot mbox unabaki kushangaa tu wtf!Sipendi tabia ya baadhi ya member wa Jf kujikuta baraza la kiswahili. Yaani wewe umeandika anakosoa, hata kama umesoma art basi vunga. Wewe jibu mada pita na zako hakuna atakaye kupongeza kwa kuandika bila kujali.
Mtuache, cheki huyu kosa langu lipo wapi?
View attachment 2453999
Au tuu kaamua aropoke? Fateni yenu, mliojoungia kujadili mambo ya r na l tuachie sisi; hayakuhusu chamsingi kilichoandikwa kimeeleweka!
kusahihishwa ni muhimu ili kiswahili kinyooke. wanyarwanda wanafundisha kiswahili vyuo vikuu marekani, cc tunakosa nafasi hizo kwa sababu kama hizi hatupendi kuwa wanyoofu kwenye lughaSipendi tabia ya baadhi ya member wa Jf kujikuta baraza la kiswahili. Yaani wewe umeandika anakosoa, hata kama umesoma art basi vunga. Wewe jibu mada pita na zako hakuna atakaye kupongeza kwa kuandika bila kujali.
Mtuache, cheki huyu kosa langu lipo wapi?
View attachment 2453999
Au tuu kaamua aropoke? Fateni yenu, mliojoungia kujadili mambo ya r na l tuachie sisi; hayakuhusu chamsingi kilichoandikwa kimeeleweka!
Ukiwa hutaki kukosolewa Acha kuandikaSipendi tabia ya baadhi ya member wa Jf kujikuta baraza la kiswahili. Yaani wewe umeandika anakosoa, hata kama umesoma art basi vunga. Wewe jibu mada pita na zako hakuna atakaye kupongeza kwa kuandika bila kujali.
Mtuache, cheki huyu kosa langu lipo wapi?
View attachment 2453999
Au tuu kaamua aropoke? Fateni yenu, mliojoungia kujadili mambo ya r na l tuachie sisi; hayakuhusu chamsingi kilichoandikwa kimeeleweka!
Nani huyo?Hivi ukiandika "a grass of water" unakuwa huelewi ulichoandika au ni unyafuzi wa akili? Hivi unashindwa kweli kutofautisha glass na grass wakati wa kuandika?
Juzi tulikaa na PhD holder mmoja, tena wa mambo haya ya lugha, akiongea unatamani kuondoka..
...Hutaki Kukosolewa? Basi Usiandike Kitu? Yaani Wewe Uboronge Kiswahili Chetu adhimu halafu Watu Wasikukosoe? Simple kama hutaki Kukosolewa,Sipendi tabia ya baadhi ya member wa Jf kujikuta baraza la kiswahili. Yaani wewe umeandika anakosoa, hata kama umesoma art basi vunga. Wewe jibu mada pita na zako hakuna atakaye kupongeza kwa kuandika bila kujali.
Mtuache, cheki huyu kosa langu lipo wapi?
View attachment 2453999
Au tuu kaamua aropoke? Fateni yenu, mliojoungia kujadili mambo ya r na l tuachie sisi; hayakuhusu chamsingi kilichoandikwa kimeeleweka!
Ni mkinga/mbena sina uhakika sana ila matamshi yake sikuyapenda kwa kweli.Nani huyo?
Mtaje pulizi
Na kama ni Mkurya au Mhaya/Mkerewe tena mkanganyiko wa l na r na ishu za aujambo na husinihaibishe!
...Simple!...[emoji846]Ukiwa hutaki kukosolewa Acha kuandika
Bora kutokuwa na JF of GT's kuliko kuwa na membazi vihiyo wanaoiabisha nchi kwa kutokujua kusoma na kuandika.Sipendi tabia ya baadhi ya member wa Jf kujikuta baraza la kiswahili. Yaani wewe umeandika anakosoa, hata kama umesoma art basi vunga. Wewe jibu mada pita na zako hakuna atakaye kupongeza kwa kuandika bila kujali.
Mtuache, cheki huyu kosa langu lipo wapi?
View attachment 2453999
Au tuu kaamua aropoke? Fateni yenu, mliojoungia kujadili mambo ya r na l tuachie sisi; hayakuhusu chamsingi kilichoandikwa kimeeleweka!
Ni bonge bonge hivi? Herufi ya mwisho ya jina lake ni u?Hivi ukiandika "a grass of water" unakuwa huelewi ulichoandika au ni unyafuzi wa akili? Hivi unashindwa kweli kutofautisha glass na grass wakati wa kuandika?
Juzi tulikaa na PhD holder mmoja, tena wa mambo haya ya lugha, akiongea unatamani kuondoka..