Kuchunguzana mambo ya 'r' na 'l' hayakusaidii lolote

Kuchunguzana mambo ya 'r' na 'l' hayakusaidii lolote

Sipendi tabia ya baadhi ya member wa Jf kujikuta baraza la kiswahili. Yaani wewe umeandika anakosoa, hata kama umesoma art basi vunga. Wewe jibu mada pita na zako hakuna atakaye kupongeza kwa kuandika bila kujali.

Mtuache, cheki huyu kosa langu lipo wapi?

View attachment 2453999

Au tuu kaamua aropoke? Fateni yenu, mliojoungia kujadili mambo ya r na l tuachie sisi; hayakuhusu chamsingi kilichoandikwa kimeeleweka!
Ulichoandika hakieleweki. Usilazimishe kuwa tumeelewa kwa kuwa wazo unalo mwenyewe kichwani. Sisi tunaosoma andiko lako ndio tunakuambia hatujaelewa umeandika nini. Kama huwezi kuandika kwa usahihi unaandika ya nini humu kuanika ujinga wako? Kweli mtu mzima hujui tofauti ya GRASS na GLASS? Rudi chekechea bwn. Unatujazia server tu na utumbo wako!
 
Katika maisha Nagongelea jaribu kuyafahamu mapungufu yako na kutafuta njia madhubuti za kuyaondoa hayo mapungufu. Usihalalishe mapungufu yako ndo maana tunaambiwa elimu haina mwisho. Ni aibu kijana aliyemaliza Darasa la saba akaandika ela badala ya hela. Mtu bila aibu anaandika apo badala ya hapo.

Kubali kukosolewa ili uingie kwenye unyoofu. Hakuna mkamilifu chini ya jua, unaona hata mkuu wetu anavyotamka certificate ni shida kidogo ingawa ni Tabu kwa Wazazibari walio wengi
 
Ulichoandika hakieleweki. Usilazimishe kuwa tumeelewa kwa kuwa wazo unalo mwenyewe kichwani. Sisi tunaosoma andiko lako ndio tunakuambia hatujaelewa umeandika nini. Kama huwezi kuandika kwa usahihi unaandika ya nini humu kuanika ujinga wako? Kweli mtu mzima hujui tofauti ya GRASS na GLASS? Rudi chekechea bwn. Unatujazia server tu na utumbo wako!
Akili huna unajua hata ngarama za kulipia hii server wewe kuhusu kutokujua tofauti niachie mm hujaelewa achana nayo umeelewa jibu
 
Back
Top Bottom