Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Cha msingi ni kudai katiba mpya kwa kufuata sheria na si kuhamasisha vurugu.Hivi polisi hawa ambao ama kwa makusudi au hawaelewi kitu, kudai katiba mpya kuna kosa gani kisheria?
Hivi unapomkamata mtu ambaye anadai kitu ambacho kimeruhusiwa kisheria utakua unaelewa nini?....
Hata kufanya mkutano wa hadhara wa kisiasa hakuna kosa kisheria, lakini haifanyikiHivi polisi hawa ambao ama kwa makusudi au hawaelewi kitu, kudai katiba mpya kuna kosa gani kisheria?
Hivi unapomkamata mtu ambaye anadai kitu ambacho kimeruhusiwa kisheria utakua unaelewa nini?...
wanaogopa CCM itatoka madarakaniHivi polisi hawa ambao ama kwa makusudi au hawaelewi kitu, kudai katiba mpya kuna kosa gani kisheria?
Hivi unapomkamata mtu ambaye anadai kitu ambacho kimeruhusiwa kisheria utakua unaelewa nini?....
Magufuli alisemaje kuhusu katiba? Ulishawahi kuona ansigusia tangu alipoingia madarakani pamoja na kwamba aliahidi kumalizia mchakato? Maneno ya Mama yana tofauti gani na ya Magufuli?C mmeshaambiwa mtulie kwanza uchumi utengenezwe.! Kiburi cha chadema ndo matokeo ya yote haya
hakuna mtu aliyekamatwa kwa kudai katiba mpya mnakosea sana kuhusisha mtu anayeleta fujo akakamatwa na mtu kukamtwa kwa kudai katiba ni vitu viwili tofauti mtu akidai kwa utulivu hakuna atakayemkamata
Wewe haupo nchi hii, kuvaa tu T-shirt iliyoandikwa tu katiba mpya ni kosa.hakuna mtu aliyekamatwa kwa kudai katiba mpya mnakosea sana kuhusisha mtu anayeleta fujo akakamatwa na mtu kukamtwa kwa kudai katiba ni vitu viwili tofauti mtu akidai kwa utulivu hakuna atakayemkamata
siyo kweli mkuu hebu tuweni waungwana tusikuze mambo kwa kiasi hicho hatujafikia hapo angalia ya uganda na nchi zingine utajiona sisi bado sana hatujafikia ukatili huoWewe haupo nchi hii, kuvaa tu T-shirt iliyoandikwa tu katiba mpya ni kosa.
Wanakuhamishia BurundiNyamaza ndugu yangu, utaitwa gaidi sasa hivi kwa kutaja tu neno 'katiba'
Ukipeleka kesi mahakamani kuhoji 'TOZO' nayo unaambiwa kuwa wewe sio raia!
Kudai kwa utulivu unatakiwa udaije?hakuna mtu aliyekamatwa kwa kudai katiba mpya mnakosea sana kuhusisha mtu anayeleta fujo akakamatwa na mtu kukamtwa kwa kudai katiba ni vitu viwili tofauti mtu akidai kwa utulivu hakuna atakayemkamata
Mkuu,Hivi polisi hawa ambao ama kwa makusudi au hawaelewi kitu, kudai katiba mpya kuna kosa gani kisheria?
Hivi unapomkamata mtu ambaye anadai kitu ambacho kimeruhusiwa kisheria utakua unaelewa nini?...
Sahihi kabisa.Utendaji wa hiyo nguvu nje ya mfumo ni mfano wa genge la Mafia au Yakuza kule Japan.Hawa polisi ni vijakazi na watumwa tuu.. Wanatekeleza maagizo toka juu.. Na huko juu kuna nguvu nje ya mfumo ambayo haitaki kabisa kusikia habarj za katiba mpya...
Nyamaza ndugu yangu, utaitwa gaidi sasa hivi kwa kutaja tu neno 'katiba'
Ukipeleka kesi mahakamani kuhoji 'TOZO' nayo unaambiwa kuwa wewe sio raia!