Kuna watu wanadanganya kama hobby yaani! Hata kama ni kitu kisicho na impact, atadanganya tuuu!
Mi naona ni kukosa kujiamini. Kama umefanya kosa na unajiamini u should be able kukiri na kujifanyia self analysis ili ujiongeze, period!
You are damn smart... wengine tulishakurupuka na kujiaminisha huyu moskwito anaposema kudanganya alimaanisha cheating a.k.a infidelity.Labda niombe ufafanuzi, kudanganya hapa inahusisha hata kusaliti penzi, au ule uongo wa maneno tu?
Inategemea na jinsia aisee.....
πainkiller:
Women cheat for reason (kulipiza visasi, kutoridhishwa na aliye naye, kuwa mbali na mpenzi wake, hali mbaya ya uchumi....nk nk nk)
:A S thumbs_down:
Men cheat for pleasure...a.k.a Kudumisha mila.. Mwanaume rijali hajawahi kuridhishwa na mwanamke mmoja: Ushahidi wa harakaharaka mabeberu na majogoo)
:clap2:
Baada ya kusema hayo naomba kujulishwa hivi leo ni jumangapi?:tea: